Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

haya mawigi yanakera sana kwa hawa dada zetu sijui hawatambui aahh wanaboa kwel kwel
 
haya mawigi yanakera sana kwa hawa dada zetu sijui hawatambui aahh wanaboa kwel kwel

Wanajua sana, baadhi yao wamediriki kusema HAWAJALI maoni ya wanaume walio nao kwenye mahusiano bali wanajali maoni ya wanawake wenzao
 
Physically amenizidi nguvu lakini siwezi kuruhusu anifanye vibaya nitatumia kila mbinu kumuweka kwenye mstari unaotakiwa hata asifurukute

Acha kushindana na wanaume we mtoto mlaini,labda kama utatumia mbinu ya limbwata au kumloga.
 
Teh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...
hahahaha u made my day,,,,kwa mada ii uchangiaj wa ladies um ndan lazma udrop
 
Acha kushindana na wanaume we mtoto mlaini,labda kama utatumia mbinu ya limbwata au kumloga.

Sio kushindana baadhi ya waume hutumia vibaya power zao. Siku kuna dawa zaidi ya libwata ambalo ni cha mtoto
 
Hapo ni suala la ku-assume constant kwenye nywele ukizingatia huyo mtoto ni mzuri na ana mvuto wake

Ila hizo nywele zingekuwa za asili ungevutiwa naye mara mbili zaidi, pia ungemuona mzuri zaidi

Mwanamke Wa kiafrica ni copy kila cku
 
Back
Top Bottom