Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

Hivi ushawahi kuwasikia men wanaambiana " washkaji yule demu pochi lake kali"? Mara nyingi tunasifiana na kupondana wenyewe. Wanaume wengi hata kutofautisha nywele za kawaida na weaves hawawezi let alone kujua bei

Ni kweli. Kuna siku nilishonea weaving jioni Mr.ananiuliza nywele leo umeset style gani.Nkamwambia ni weaving hata alikua haelewi.Sema ndo ivo sikumaliza nalo week kichwani kila siku analiponda.
 
Hahah daddy nimeiona, mwenyewe busy na doro bucci yake. Ashukuru rafiki ake naye mjanja. atoto siku wigi langu likidondoka fanya tu kunifichia siri teh
teh teh..Yani ujanja ndo kulificha papuchini?..Halafu atleast huyu nywele zake kazibana fresh..pata picha ndo una mabutu kichwani..Unaweza kuondoka kwenye shughuli bila kuaga
 
Ni kweli. Kuna siku nilishonea weaving jioni Mr.ananiuliza nywele leo umeset style gani.Nkamwambia ni weaving hata alikua haelewi.Sema ndo ivo sikumaliza nalo week kichwani kila siku analiponda.

Teh hawajuagi hawa wenzetu. Usiombe aanze kupondea nywele, utafumua tu
 
Hahaaaaaa mkuu umenifurahisha aisee mi sio mkorofi ila sipendagi ujinga wa makusudi kabisa. Am so cool huwezi amini

Kwani nani anapenda ujinga....mwanamke unatakiwa kuwa soft bwana sio unakuwa kama jiwe, hizo tabia za umwamba waachie wanaume....
 
  • Thanks
Reactions: Art
teh teh..Yani ujanja ndo kulificha papuchini?..Halafu atleast huyu nywele zake kazibana fresh..pata picha ndo una mabutu kichwani..Unaweza kuondoka kwenye shughuli bila kuaga

Eeh maana angekuwa rafiki mwingine angechekaje hapo. Mara nyingi ndani tunapiga twende kilioni afu juu kitu cha wigi
 
Sonko Jr. kuna video nimeiona insta now nikakumbuka uzi wako..Dada amejiachia anacheza wig likadondoka..Shosti ake ili kumsitiri kaamua kulificha kwenye chupi watu wasilione Heaven Sent umekutana na hiyo video??..

Nami nimeona leo nikacheka nakuongeza siku shost ake akaliweka wigi kunako gauni
 
Last edited by a moderator:
Kwani nani anapenda ujinga....mwanamke unatakiwa kuwa soft bwana sio unakuwa kama jiwe, hizo tabia za umwamba waachie wanaume....

Kuna watu wapenda kuendekeza upuuzi sasa ukiruhusu mazoea lazima wakupande kichwani.
Hahaaa u soft unategemea na character ya mtu Ku handle issues mbalimbali,including caring lakini ubabe kutokuthamini hapo patanishinda kabisa
 
Mwanamme amekuzidi nguvu ,ukorofi gani unatarajia kuufanya
 
Mwanamme amekuzidi nguvu ,ukorofi gani unatarajia kuufanya

Physically amenizidi nguvu lakini siwezi kuruhusu anifanye vibaya nitatumia kila mbinu kumuweka kwenye mstari unaotakiwa hata asifurukute
 
Back
Top Bottom