Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

wigi humfanya mwanadamu kuhama kwenye natural being kwenda kwenye transformed artificial being,huwa wanakuwa kama wale midoli ya barabarani,afu huwa yanaharufu mbaya sana mpaka wanayapiga perfume au kuosha,ila ukweli ni kwamba wigi hutengenezwa na nywele zilizokatwa za maiti za kihindi,kizungu,kiharabu and etc
 
nywele zina harufu mbaya zile aiseee sijapata kuona
 
Vitabu vya Mungu vina kataza kumkosoa Mungu na kuvaa vitu haramu ndio maana miongoni mwa vitu haramu ni Mawigi kwa kigezo cha fashion wanawake wengi wameruhusu mapepo kufanya makao ktk milli yao mfano. Nenda wanakofanya maombezi ktk mikutano utaona Wanawake wengi ndio WENYE MAPEPO tatizo liko hapa ktk mapambo na fashion.

Kumbe hili pia lipo kiimani zaidi?
 
Kama mwanaume hana nia ya kumuoa mtu hata utoe wigi hakuoi, usitudanganye hapa. Hao wanaume wengi mbona wanawaacha dada zao wavae/wasuke ni kwamba hawataki dada zao waolewe! ! Nadhani muanze kuwashauri mnao onana nao, huku mtandaoni hatujali.

Sisi wanawake wa mawigi tunawachukulia Kama chapa ilale hakuna kuweka kambi hapo perception 90% vicheche
 
Kumbe hili pia lipo kiimani zaidi?

Ulikuwa haujui, kumkosoa Mungu nikitu kizito sana ndio maana shetani kwakujua wanawake wanapenda kujibadilisha badilisha na kuiga fashion zisizo faa kuna roho chafu zina waingia wanawake bila wao kujua.
 
Kumbe!! waache hao, mapepo na majini wajisevie maana hamna namna nyingine
 
Huna hela ya weaving original hafu acha kujitekenya ndo mini kujihangaisha na ....... Nyingi hapa jukwaani.

Wewe Team Mawigi tulia acha kupanic, umejuaje hana hela? Wewe kama unaficha milima na mabonde kichwani tambua kuwa wapo wenzako wana vichwa na nywele zao nzuri
 
Wewe Team Mawigi tulia acha kupanic, umejuaje hana hela? Wewe kama unaficha milima na mabonde kichwani tambua kuwa wapo wenzako wana vichwa na nywele zao nzuri

Msamehe bure huyu ninavyo jua mimi wenye pesa huwa hawajitangazi.
 
ha ha haha wote wanawake hata wenye nywele ndefu huwa wanavaa mawigi pia.......
 
Vitabu vya Mungu vina kataza kumkosoa Mungu na kuvaa vitu haramu ndio maana miongoni mwa vitu haramu ni Mawigi kwa kigezo cha fashion wanawake wengi wameruhusu mapepo kufanya makao ktk milli yao mfano. Nenda wanakofanya maombezi ktk mikutano utaona Wanawake wengi ndio WENYE MAPEPO tatizo liko hapa ktk mapambo na fashion.

cc: PesaNdogo binti kiziwi everhurt
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua kuhusu mapepo na mawigi ambayo wanayaita original nenda Google kwenye ibada za wahindu utaona maajabu.

Watakuja mbio hapa kukudis

Say NO to Fake Hair ili kuepukana na mapepo
 
mi nilichukuaga maamuzi magumu ya kunyoa.nilichoka kunuka nywele changanya na joto ni shiida.sasa hivi nipo na kipilipili changu safi

Nimekupenda sana. Wanawake wanaofanya maamuzi sio tu magumu bali yenye maana kama wewe ni wa kuheshimiwa sana
 
Watakuja mbio hapa kukudis

Say NO to Fake Hair ili kuepukana na mapepo

Ukweli ni ukweli tuuu hata waje kama mvua ya radi. Wewe jiulize kwann wanawake wengi wanasumbuliwa na mapepo kuliko wanaume NI KUENDEKEZA VITU WANAVYO VIITA UREMBO kumbe kuna Wigi zingine Wahindu kwao ni IBADA nenda Google ukatafute UTAONA.
 
kweli wanaume hawapendi ufake,toka nimeamua kua natural kwa kila kitu ni shiiida kwa wakaka,wananikubali sn na kipilipili changu

Ndiyo wimbo ambao tunawaimbia humu lakini hawatuelewi, wanaona kama hatujali au hatujui kuhusu urembo na mvuto wao
 
Ukweli ni ukweli tuuu hata waje kama mvua ya radi. Wewe jiulize kwann wanawake wengi wanasumbuliwa na mapepo kuliko wanaume NI KUENDEKEZA VITU WANAVYO VIITA UREMBO kumbe kuna Wigi zingine Wahindu kwao ni IBADA nenda Google ukatafute UTAONA.

Kuna wale Team Mawigi sugu hata ukiwaletea habari za google wataona kama unawazingua, labda mpaka wao wenyewe wakutane nazo wenye maombi
 
Back
Top Bottom