binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,119
- 34,439
sema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG
Hahahaaa haaaaaa haaahaa lol! Uzuri wanawake sie ni wavumilivu sana!
sema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG
Wewe utakuwa team wigi maana hasira zako hatare. La msingi ujue tu hampendezi. Likely nawewe haupendezi hata kama unachukia. Hahaha
Hakuna uhusiano wa hizo principles zenu na kujitambua.
Btw kwanini nijikubali ili iweje halafu nimfurahishe nani? My happiness matters alot! Kuiga uzungu na uhindi kupo tu kwenye nywele za wanawake? Nimekuomba tuache vyote ambavyo si tamaduni zetu, tukishindwa basi kila mtu aendelee kuishi maisha yake.
Nafikiri dunia itakuwa sehemu salama sana ya kuishi kama kila mtu ataishi awezavyo bila kuathiri uhuru wa mwingine!
Hahahha! Hapo kwenye harufu mhhh haiwezi kuwa kweli! Mdada anayejipenda hawezi kutembea na harufu kichwani! Unless huwa unameet watoto wa shule!
Uwiiiiii!! Vitambi ni janga hujui tu, nawashangaa mnavyovitetea, na bahati nzuri zile hata doctors wanaviongelea, hii ya wigs sijui make ups ishasemwa sana humu jf ujue, nilitegemea mngekuja na mrejesho sasa kuwa mmefanikiwa kwa kiasi gani, maana biashara ndio inapamba moto.
Kama huyo uliyenaye kwenye mahusiano anapata confidence ukimsifia wewe it's okay! As for me confidence nakuwa nayo mwenyewe, marafiki wanawake wakinisifia confidence inaongezeka. Vipi inakuumiza sana?
Kama hujikubali ni tatizo la fikra zaidi
Sijasema mnaiga wazungu, nimesema mnataka/penda kuwa kama wao, ni vitu viwili tofauti
Mpaka hapa hamna uhuru wa mtu yeyote ulioathiriwa, kuwaambia muache jambo fulani lisilo na maana ni kitendo cha busara wala sio la kuvunja katiba
Wenzako washazungumzia ratiba za kuziosha, wamesema zinafanyiwa usafi baada ya siku kadhaa, hiyo ni kwa wote walio shuleni, chuoni au mtaani.
Haliwezi kuniumiza, labda wewe ni Lesbian siwezi jua
Kama hujikubali ni tatizo la fikra zaidi
Sijasema mnaiga wazungu, nimesema mnataka/penda kuwa kama wao, ni vitu viwili tofauti
Mpaka hapa hamna uhuru wa mtu yeyote ulioathiriwa, kuwaambia muache jambo fulani lisilo na maana ni kitendo cha busara wala sio la kuvunja katiba
Wenzako washazungumzia ratiba za kuziosha, wamesema zinafanyiwa usafi baada ya siku kadhaa, hiyo ni kwa wote walio shuleni, chuoni au mtaani.
Ushaonesha ushamba wako muda kweli, nakuangalia tu unavyopanic, hujui hata kama wigi wanavaa na kuvua, unaulizia wanajisikiaje wakichana, uliponichekesha ulipoopoa mdada mwenye wigi asubuhi unakimbia...nilikuuliza, ulidhani ni mzungu hukujibu. Si ulimbeba mwenyewe. Huo ndo ulimbukeni halisi.
Huu mda mngeutumia kuwaelemisha wadogo zenu wanaovaa ch * pi nje, muwaambie bora waache suruali nyumbani tu maana haifichi chup * zao. Na pia mngetumia mda huu kukumbushana kubadili boxaz, maana zinavaliwa kwa mtindo wa pasi ndefu, wiki n.k. mawigi yanasitiri kichwa cha mwanamke, sasa muhamie kuwashauri wanaume wenzenu wajisitiri.
Wewe ushachanganyikiwa, mpaka umemsahahu aliyekwambia hivyo!! mtafute yupo humu humu
Mie sitaki kusikia hizo unwanted busara zako! Piga hiyo kampeni kushawishi na si kulazimisha, if and only if unaathirika na wigi/makeups za mkeo. Sie wengine tuache kwasababu hujawahi kutugharamia. Nahitimisha kwa kusema hiviiiii NIMEKATAA USHAURI WAKO. (unwanted opinions)
Wala si-intend kum-offend mtu yeyote, ulionyesha interest sana na jinsia yako ndo maana
Unaelewa hata maana ya kujikubali?, sio ninyi mnaouliza habari za vibamia humu?! Ooh vibamia vinaanzia ngapi... tena afadhali na mambo ya nywele mtu anafanya anavyoamua mda wowote, viungo vinavouliziwa havikui hata
Umeshajisahau kama ulivyosahau iwapo unatoa ushauri au unafanya kampeni.
Acha nikalale zangu mie, ukiniquote tena hutajibiwa nimekupa muda mwingi huna point mpya unazunguka pale pale
Mwanaume ulie naye kwenye mahusiano na unayempenda akikwambia hujapendeza na rafiki yako wa kike akwakwambia umependeza, utachukua lipi?Maana yangu haikuwa hivyo unless umeperceive tofauti, nimesema hivi mwanaume ananisifia kwasababu ana pave the way kwaajili ya interest zake. Lakini mwanamke anasifia pale anapokuwa amekipenda au kukikubali kitu, kwahiyo to me nikisifiwa na mwanamke na appreciate zaidi kuliko nikisifiwa na mwanaume!
Mwanaume ulie naye kwenye mahusiano na unayempenda akikwambia hujapendeza na rafiki yako wa kike akwakwambia umependeza, utachukua lipi?
NB: Kwa mtoko uleule bila ku-change chochote