Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
- Thread starter
- #421
Nami nasema hivi, hata msiyapende, kuna baadhi yetu hatufanyi kwa ajili yenu, kuna wanawake wengi sana wako local (natural) go and opt for them. Yanini kujipa pressure kwa vitu visivyokuhusu?
Kwenye hii sayari mnaishi na sisi, 99.99% hatuzipendi, wewe kama unazipenda jua ni ulimbukeni uliopitilizaaa
Kwahiyo unavyoigaiga kuwa Mzungu kwa kuvaa Fake Hair ndo unakuwa international? Ndo unavyojidanganya
Tunataka kurudisha wanawake katika misingi ya urembo na mvuto, misingi ambayo mnaacha kwa kasi