Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

Lengo sio kuwapunguzia self esteem bali ni kuwapa somo kidogo ujue sometimes mnaweza mkawa ata mna mlaumu Mungu kwann hatuolewi. Ushawahi kaa na wanaume ukajua perception zao kwa wanawake wavaa mawigi ukawasikia?

Kama mwanaume hana nia ya kumuoa mtu hata utoe wigi hakuoi, usitudanganye hapa. Hao wanaume wengi mbona wanawaacha dada zao wavae/wasuke ni kwamba hawataki dada zao waolewe! ! Nadhani muanze kuwashauri mnao onana nao, huku mtandaoni hatujali.
 
Mh hapa watu wanaongeeea, wakati mademu zenu ndio wanaoongoza kuvaa mawigi, tena pesa za saloon mnatoa nyie wenyewe. Kama wig halivutiii msingekuwa mnatutongoza hovyo mtaani hadi inakua kero,,,

Kama mwanaume anatoa pesa ya saluni anakuridhisha wewe lakini ye mwenyewe hazipendi

Sio kila ukitongozwa wigi ndo limesababisha, unaweza kutongozwa kwa sababu mwanaume kazidiwa anahitaji papuche tu, hilo wigi linaweza kusababisha wanaume tusiweke kambi kwako.
 
Sisi wenyewe hatupendi kuongozana na nyie MTU tumbo lile hata funguo ya bodaboda huna .....

Daaah bora hata lishe uwe na kitambi kuliko kuvaa manywele yanatukosesha hewa safi hata wengine asthma inaamka hamjiami ndo tatizo ila ukija kwangu uko na low cut au udanga mbona fresh tu
 
That's your imagination if not hallucinations. Hujiamini wewe maana unazunguka zunguka, mara ni kampeni mara ushauri, mara unachukua wadada wenye wig usiku asubuhi unawaogopa! ! Waache wanawake na mambo yao

Usipanic maana hii ni kampeni + ushauri

Muulize shemeji vizuri kama anapenda wigi lako hilo ulilotundika hapo kichwani halafu ulete mrejesho, mwambie awe HONEST
 
Kama mwanaume hana nia ya kumuoa mtu hata utoe wigi hakuoi, usitudanganye hapa. Hao wanaume wengi mbona wanawaacha dada zao wavae/wasuke ni kwamba hawataki dada zao waolewe! ! Nadhani muanze kuwashauri mnao onana nao, huku mtandaoni hatujali.

Mm cna DADA naomba uwe DADA Wa kuadopt ili nikufundishe just pm right now lol!
 
Hii sio amri ni ushauri ukizingatia kuwa hazikuongezei mvuto wowote

Ungebaki na nywele zako ungevutia zaidi, hujui tu

Mimi ni mwanamke but nimejikubali usichana wangu mpaka naolewa hayo makitu siyapendi huwa napata shida kufikiri joto la Dar na hayo makitu kichwani, kwa joto hili napenda nilifika home nywele yangu maji yapite nipate kujisikia raha na mume wangu huwa ana enjoy kushika nywele zangu
 
Mimi ni mwanamke but nimejikubali usichana wangu mpaka naolewa hayo makitu siyapendi huwa napata shida kufikiri joto la Dar hayo makitu kichwani, kwa joto hili napenda nilifika home nywele yangu maji yapite nipate kujisikia raha na mume wangu huwa ana enjoy kushika nywele zangu

Nawapenda wanawake wanaojitambua na wasafi kama wewe

Sio kama wengine humu walioshikwa masikio
 
Mawigi yanakera kiukweli kuna siku nilikuwa na demu flani hivi nikaenda kumla uroda alikuwa amevaa wigi wakati na mla uroda ghafla akanogewa akaanza kulia kwa mahaba na mikiki mikiki ya nguvu niliyokuwa na mpa si ndio nikawa na mchezea nywele wakati nafanya mambo yangu hamadi wigi likavuuka akawa ananuka kichwa kizima lile wigi sijui lilivunda i dont know! Kiukweli hadi stim zikakata maana nilihisi dampo la muhimbili limehamia pale lile wigi lilikuwa linanuka hatali.

ulichukua demu uwanja wa bei rahisi ndio maana
 
Naona ushaishiwa pumzi, hukujua urefu wa huu mlima kabla ya kuamua kuupanda, pole

Nilishakwambia huna ubavu huo, huna msimamo unawabeba wadada wenye mawigi wewe mwenyewe, unajifanya uko kwenye kampeni baada ya kugundua ushauri haulazimishwi.

tutabishana mpk mwakani nikijisikia kukubishia, maana sijali ndo maana mbinu zako zote za kutukana umeona sijibu personal ila pale unapojifunga mwenyewe nimekujibu.
Man up, kuna mambo ya maana zaidi ya wigi waache wanawake na mawigi yao.
 
Mimi ni mwanamke but nimejikubali usichana wangu mpaka naolewa hayo makitu siyapendi huwa napata shida kufikiri joto la Dar na hayo makitu kichwani, kwa joto hili napenda nilifika home nywele yangu maji yapite nipate kujisikia raha na mume wangu huwa ana enjoy kushika nywele zangu

cc: PesaNdogo
 
Last edited by a moderator:
Nilishakwambia huna ubavu huo, huna msimamo unawabeba wadada wenye mawigi wewe mwenyewe, unajifanya uko kwenye kampeni baada ya kugundua ushauri haulazimishwi.

tutabishana mpk mwakani nikijisikia kukubishia, maana sijali ndo maana mbinu zako zote za kutukana umeona sijibu personal ila pale unapojifunga mwenyewe nimekujibu.
Man up, kuna mambo ya maana zaidi ya wigi waache wanawake na mawigi yao.

Unamaanisha tuwaache wanawake wanaovaa mawigi na ulimbukeni wao?
 
Nawapenda wanawake wanaojitambua na wasafi kama wewe

Sio kama wengine humu walioshikwa masikio

Kuna siku nilicheka sana nilimwona binti mmoja alikuwa amevaa hayo makitu iko kama kofia flani ss alikuwa ktk piki piki amepakiwa na kofia ya usalama amevaa, sasa wakt anavua yale makitu yakavulika hiyo mibutu sasa kichwani ilikuwa ni shidaaa.
 
Back
Top Bottom