mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Hahaha my kaka buana, kwa nini kusifia wakati roho haipendi teh
Hahaaa najua unauliza hivyo kwa vile hujaiingia ndoani, ungekuwa ndoani wala usingeuliza, so swali lako naliweka kiporo
Hahaha my kaka buana, kwa nini kusifia wakati roho haipendi teh
Hilo jicho lako la tatu litakuwa na makengeza, naongelea UHALISIA zaidi
Kama wewe ni mrembo ni mrembo tu, aliyekwambia ukibaki na nywele zako za asili hupendezi ni nani? Hiyo Reception Fake ya kazi gani?
Ukisema wengine hawana nywele nzuri ina maana hawajiamini au wanajishtukia, ila hujui tu, tunawakubali hivyo hivyo, Just Be Yourself, that's all
Hao wazungu unaowazungumzia by nature wana nywele ndefu, nyie mnazo au mpaka wigi?
Sema kujipaka make-up mfano kwenye lips utumie kidogo sio hadi mwanamke unaonekana kama umedumbukiza limdomo kwenye kopo la Coral Paints!!! Hamna mwanaume anayependa kumeza hivo vitu
BTW tunazungumzia Fake Hair in general, bila kujali kama ni wa Posta au Tegeta, Songea au Arusha au Ilemela. everhurt
Hahaaa najua unauliza hivyo kwa vile hujaiingia ndoani, ungekuwa ndoani wala usingeuliza, so swali lako naliweka kiporo
Napenda mwanamke akisuka rasta kuliko manywele artificial,kweli yanakata mizuka sana.Nadhani wanawake wa kiafrica wengi hawajajua jinsi gani wazungu wanapenda nywele za kwetu,mkiwa na nywele asilia zinawaongezea uzuri zaidi ya ma plastics.
Kuna mrembo mmoja kwenya isidingo anasuka barabara ananivutia sana
Ndio mana nakwambia unabisha kitu ambacho huwezi kukibishia,
Swala hili ungelipeleka kwenye msingi wa kidini hapo ungekua sawa kwa asilimia mia moja kama huyo mtu aliyenitag,
Ila ww unalizungumzia kwa chuki zako binafsi,
Hujui hata kutofautisha kati ya "Urembo na Uzuri"
Make up haipakwi mdomoni, mdomoni hupakwa lipstick,
Umekubali maneno yangu kua ww huzungumzii in general ila unamzungumzia mtu mmoja mmoja, maana sio wanawake wote wanaojikandika Makeups usoni, wengn huweka wastani.
Me sivai wigs, nina nywele zangu ndefu na laini na nikitoka huvaa hijab,
Ila bado cwez kumcheka anayevaa wig au kushonea weaving au kusuka rasta coz najua urembo wake upo pale,
Rafiki naomba utambue kila sehemu ya mwili wa mwanamke ni urembo,
So achana na ukoloni, mpendezeshe mkeo/mpenzio.
Huwa napata shida sana kuwaza unawezaje kusimama na kuanza kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake halafu kichwani umemkosoa kwa kuweka vitu ambavyo yeye hakukuumba navyo. Unakuta midude migumu kwa ndani mtu kashonwa na nyuzi kichwani yaani kisa fashion halafu ngoja uzi uachie bahati mbaya huwa nacheka sana kwani wengine niko nao ofisini mara ooo naomba nirekebishie
Hahaha watu mna maneno, eti kudumbukiza mdomo kwenye kopo la coral paintsHilo jicho lako la tatu litakuwa na makengeza, naongelea UHALISIA zaidi
Kama wewe ni mrembo ni mrembo tu, aliyekwambia ukibaki na nywele zako za asili hupendezi ni nani? Hiyo Reception Fake ya kazi gani?
Ukisema wengine hawana nywele nzuri ina maana hawajiamini au wanajishtukia, ila hujui tu, tunawakubali hivyo hivyo, Just Be Yourself, that's all
Hao wazungu unaowazungumzia by nature wana nywele ndefu, nyie mnazo au mpaka wigi?
Sema kujipaka make-up mfano kwenye lips utumie kidogo sio hadi mwanamke unaonekana kama umedumbukiza limdomo kwenye kopo la Coral Paints!!! Hamna mwanaume anayependa kumeza hivo vitu
BTW tunazungumzia Fake Hair in general, bila kujali kama ni wa Posta au Tegeta, Songea au Arusha au Ilemela. everhurt
Kwa hisani ya wasiojitambua
Wazungu waliliona hili wakaaminisha Dada zetu wapende vyao sasa wanapiga hela
Sio kutokujitambua maisha ya wanawake hayawahusu wanaume hata ufanyeje weaving zitavaliwa sana,lipstick and every thing concern won't change till the end of the world. Either wajitambue au wasijitambue ndo nature halisi ya uanauke