Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

Nimesema hivi! Huwa siwasikilizi wanaume hasa kwenye masuala ya urembo na kupendeza kwasababu mara nyingi hawaelewi some of our stuffs! Kwahiyo opinions zake zitozijali.
Kuhusu mwanamke mwenzangu it's either nimsikilize or not kwasababu my happiness matters! Nikaconlude hivi mwanamke mwenzangu akinisifia confidence inaongezeka kwakuwa najua amenielewa!

Kama hujali opinion za mtu unayempenda na uko naye kwenye mahusiano, ina maana hujali hisia zake. Mfano anakwambia ukivaa wigi humvutii halafu bado unavaa kumfurahisha rafiki yako.
 
Lengo sio kuwapunguzia self esteem bali ni kuwapa somo kidogo ujue sometimes mnaweza mkawa ata mna mlaumu Mungu kwann hatuolewi. Ushawahi kaa na wanaume ukajua perception zao kwa wanawake wavaa mawigi ukawasikia?

Hahahaaa jamani! Kupata kichekesho kama hichi andika neno kichekesho halafu tuma kwenda number 17650.
Unataka kusemaje ? Kwamba walioolewa hawavai mawigi? Je wavaa mawigi wote hawajaolewa? Mhhhh harusi za siku hizi saluni ipo kwenye ratiba, huwa wanaenda kufanyeje eti! ?
 
Kama referee Wa mechi hii Kati ya timu mawigi na timu ant-mawigi, zilizokuwa zikiongozwa na sonko Jr na pesandogo, niwatangazie kuwa timu antmawigi wameshinda huku time mawig wakiomba maji,
 
Kama referee Wa mechi hii Kati ya timu mawigi na timu ant-mawigi, zilizokuwa zikiongozwa na sonko Jr na pesandogo, niwatangazie kuwa timu antmawigi wameshinda huku time mawig wakiomba maji,

kuna siku team mawigi katoa kichwa nje kwenye gari upepo ukafanya yake ,wigi kule yeye na upara kushoto,kifuatacho sibuka ni bonge la para kama helmet ya boxer ,daah alivyo hata ile teni ya kumrushia ndoano nikasema bora nikakague tigopesa za wahudumu pub mitaa ya kati kuliko zoombie kwenye ubora wake
 
Hatuachi, huwezi kugharamia kaa pembeni usaidiwe, sio ukidaiwa tu hela ya saloon unakuja kutema povu jf, unalo hilo limekugandaje...
 
Team mawig na anti mawig kupatana ni sawa na ccm kuunda serikali ya mseto na ukawa.
Just agree to disagree!
 
Mi situmii mawig nina nywele zangu natural zina urefu wa kutosha, nazitunza and I love them
 
Kila mtu afanye apendacho.......

'Liberty' ipo pale pale

Kama unang'ang'ana na visivyo kuongezea mvuto wowote ni uamuzi wako lakini taarifa ushaipata, cha msingi fanya uamuzi mgumu
 
Hatuachi, huwezi kugharamia kaa pembeni usaidiwe, sio ukidaiwa tu hela ya saloon unakuja kutema povu jf, unalo hilo limekugandaje...

Suala la hela halijazungumzwa hapa, lakini KIUHALISIA hamna hata haja ya mwanaume kutoa hela yenyewe kwa vitu asivyopendezwa au kivutiwa nazo
 
Nimetazama kwa jicho la tatu nimegundua mleta uzi hana strong point isipokua ni ushabiki plus kulipiza kisasi cha vitambi,

Si kila mwanamke akivaa wig hapendezi and vice versa,
Urembo wa mwanamke ni sura na nywele a.k.a reception.
Pia ujue si mwanamke wa africa pekee anayevaa wig, wazungu ndio wanaongoza kwa mawig incase u didnt know,
Swala la nywele ni ishu nyngn kbs c kila mtu anakua na nywele nzuri, so hujitahidi kufanya awezalo apendeze.

Make up ni nzuri kwa anayeipatia, na humbadilisha mwanamke kua ktk muonekano wa tofauti japo kwa muda.

Ulichozungumzia hapa ni mtu mmoja mmoja, yan km ulitembea posta umekutana na mdada kavaa wig hovyo kajipaka make up hovyo usiseme ni wanawake wote. Sonko Jr.
 
Last edited by a moderator:
Vitabu vya Mungu vina kataza kumkosoa Mungu na kuvaa vitu haramu ndio maana miongoni mwa vitu haramu ni Mawigi kwa kigezo cha fashion wanawake wengi wameruhusu mapepo kufanya makao ktk milli yao mfano. Nenda wanakofanya maombezi ktk mikutano utaona Wanawake wengi ndio WENYE MAPEPO tatizo liko hapa ktk mapambo na fashion.
 
Najua hii ni chungu kumeza lakini ni dawa.
 
Nimetazama kwa jicho la tatu nimegundua mleta uzi hana strong point isipokua ni ushabiki plus kulipiza kisasi cha vitambi,

Si kila mwanamke akivaa wig hapendezi and vice versa,
Urembo wa mwanamke ni sura na nywele a.k.a reception.
Pia ujue si mwanamke wa africa pekee anayevaa wig, wazungu ndio wanaongoza kwa mawig incase u didnt know,
Swala la nywele ni ishu nyngn kbs c kila mtu anakua na nywele nzuri, so hujitahidi kufanya awezalo apendeze.

Make up ni nzuri kwa anayeipatia, na humbadilisha mwanamke kua ktk muonekano wa tofauti japo kwa muda.

Ulichozungumzia hapa ni mtu mmoja mmoja, yan km ulitembea posta umekutana na mdada kavaa wig hovyo kajipaka make up hovyo usiseme ni wanawake wote. Sonko Jr.

Hilo jicho lako la tatu litakuwa na makengeza, naongelea UHALISIA zaidi

Kama wewe ni mrembo ni mrembo tu, aliyekwambia ukibaki na nywele zako za asili hupendezi ni nani? Hiyo Reception Fake ya kazi gani?

Ukisema wengine hawana nywele nzuri ina maana hawajiamini au wanajishtukia, ila hujui tu, tunawakubali hivyo hivyo, Just Be Yourself, that's all

Hao wazungu unaowazungumzia by nature wana nywele ndefu, nyie mnazo au mpaka wigi?

Sema kujipaka make-up mfano kwenye lips utumie kidogo sio hadi mwanamke unaonekana kama umedumbukiza limdomo kwenye kopo la Coral Paints!!! Hamna mwanaume anayependa kumeza hivo vitu

BTW tunazungumzia Fake Hair in general, bila kujali kama ni wa Posta au Tegeta, Songea au Arusha au Ilemela. everhurt
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom