Ah hahahahahah sonko umenivunja mbavu,yaan hawa dada zetu wangejijua kwakweli wasingevaa kabisa,hakuna kitu kinanitiaga hasira kama wife akiniomba hela ya mawigi.
Wewe kuna kitu unakificha na mawigi yako hayo
We ndo umepaniki, kuja kulalamikia mawigi ya mwanamke, kama ulikuwa hujui sio mara zote wanawake wanajiremba kwa ajili ya wanaume hiyo ni psychology ya wanawake... They are competitive among themselves.
Hata ningekuwa nimelivaa wewe halikuhusu, hata liwe la kijani teh teh
Mbona unashindwa kujiamini mtoto wa kike? ya nini ujishtukie
Uta imagine sana tu
Sijapendii mawigi kwanza wengi wenu hamjui kuyatunza yanakua na harufu mbaya mpaka kero😳😳😳
Maybe Ana bichwa Kama tofali ya block muache ajivalie mawigi kwa raha zake😜😜😜
Sijajua mnawashwa wapi wenzenu wakivaa mawigi, hata kichwa kiwe kama nini kila mtu ana haki zake hakuna sheria iliyovunjwa.
Waacheni wanawake wafanye yao
Kama nilivowaeleza wenzio, kama kavaa mkeo mwambie atoe. Wengine waacheni tu, mnanusa nusa ya nini?!
Hope PesaNdogo wewe mdau mkubwa wa mawigi ndo maana umesimamia ukucha siredi hii😝😝😝
Mi mdau wa wanawake wengi na wadada ambao hamuishi kuwachambua humu.
Waacheni wanawake wafanye yao, kama mkeo, girlfriend, dada au mama ako mwambie tu hupendi ila wengine wana haki ya kuvaa/kusuka nywele hizo.
Jiwe gizani hilo ukisikia kelele??😜😜😜😜
Hamna uwezo huo, maana kiukweli sijali kabisa najua mnataka kuwapunguzia wanawake self esteem humu.