Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

mkuu unaikumbuka ile kitu uliyoniuliza kwamba huyu ni mtu mzima au? Sasa kwa ile Sura ukivaa na Wigi utaonekana kama nini?

kama fulani ingawa anavaa lakini akigeuka bado liko pale pale, Ukichanganya kuungana kwa Mgongo na Makalio, ongeza na Kandambili kifuani hakika unaweza kudhani ni mpoki katika maigizo.. Harafu eti mimi mzuri, mzuri wakati kichwani umeficha mapunyepunye

Ha haa mkuuu...itakuwa komed kwakweli
 
Mshakula kama vinne hivi...bila majibu....wanawake wenye hips za tumbo na mawigi ya nik minaji...
Te teh..i wish nkuone evelyn na lile wigi lako la kipind kileee

Hapa wigi la kijani, kope nmebandika, kucha nmebandika, lipstick ya njano utanitaka babuuu
 
Hapa wigi la kijani, kope nmebandika, kucha nmebandika, lipstick ya njano utanitaka babuuu

Tena uzuri wigi lako lipo unique, hata ukigeuka lenyewe linabaki tu straight hahhahahah a hahahha hii week ipite kabla watu hawajanihamishia mirembe
 
Hapa wigi la kijani, kope nmebandika, kucha nmebandika, lipstick ya njano utanitaka babuuu

Na zile za machoni hujapaka bado?

Teh teh utakuwa kama bendera ya chadema...

Alafu unataka mwanaume original..
 
Unalazimisha sasa, ushauri haulazimishwi wala Ombi halilazimishwi. Kila mtu anacho anachotaka na sio lazima kimvutie mwingine, huna cha kufanya mtu akiamua kuvaa wig labda awe mkeo utamvua maana wengine hawajali kama huvutiwi
Mara nyingi wanawake wanashindana wenyewe maana hakuna mwanaume anayejua wigi la human hair au la laki 3 ila mwanamke mwenzie atajua na kumsifia. Sio mara zote lengo wewe uvutiwe so yanakuwa hayakuhusu

PesaNdogo unavyotetea mawigi mpaka unanipa raha! Vipi leo unavaa la rangi gani vile!!
 
Na zile za machoni hujapaka bado?

Teh teh utakuwa kama bendera ya chadema...

Alafu unataka mwanaume original..

Machoni nmenogesha na blue, mwanamke urembo....nini nachuro misitu iwe nachuro na sie pia? Khaaaa kwani sie misitu jamani
Ndio nahitaji sio tu original but a real man teh
 
Vita ya vitambi vs mawigi bado inaendelea.
 
Ha ha ha ha ha haaa, labda ni uchafu binafsi

Pesa ndogo hakuna kitu kibaya kama mtu mbishi na urembo umewazidi nguvu wanawake wamekosa mwelekeo ndiyo Ile dalili za kutapa na manywele ya vibudu hebu jiulize unakutana na ndugu zetu wenye hizi nywele utajisikiaje?utaonekane mpumbavu Wa akili na kifikra na kukosoa uumbaji Wa mungu shame shame all girls around the world wearing deads hair.
 
Hebu fuatilia vizuri process ya uzalishaji nywele, hakuna mfu anayehusika. Ila kwa kuwa umewamaindi wanaovaa za wafu basi wakusikie.
 
Hebu fuatilia vizuri process ya uzalishaji nywele, hakuna mfu anayehusika. Ila kwa kuwa umewamaindi wanaovaa za wafu basi wakusikie.

Wala sina nia hiyo ila hamjitambui kabisa hamjiamini nikujizalilisha wenyewe wala siwapendi hata kuongozana na nyie mkiwa mmevaa mawigi maana nitaonekana na mm akili zinafanana aibu kwenu na janga linalo uwa utamaduni Wa kiafrica
 
Acha kulia lia baba, wigi zipo tu and they are here to stay
 
Mda mwingine zinanyofoka, zinaua stimu kabisa,
Ah hahahahahah sonko umenivunja mbavu,yaan hawa dada zetu wangejijua kwakweli wasingevaa kabisa,hakuna kitu kinanitiaga hasira kama wife akiniomba hela ya mawigi.
 
Naunga mkono hoja..hizo mawigi hua zinanyonyoka wakipika utazikuta kwenye chakula
 
Wala sina nia hiyo ila hamjitambui kabisa hamjiamini nikujizalilisha wenyewe wala siwapendi hata kuongozana na nyie mkiwa mmevaa mawigi maana nitaonekana na mm akili zinafanana aibu kwenu na janga linalo uwa utamaduni Wa kiafrica

Sisi wenyewe hatupendi kuongozana na nyie MTU tumbo lile hata funguo ya bodaboda huna .....
 
Back
Top Bottom