Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Ndio mkuu..We vipi?Kaka ushaexperience haya mambo?.
Ndio mkuu..We vipi?Kaka ushaexperience haya mambo?.
Hence provedNywele nyingine zina gubuuu..
Nihangaike na kupass nywele kila siku wakati wigi LA 8000 kariakoo lipo.
Ndio mkuu..We vipi?
Sasa wewe wigi la nini wakati nywele zako tuu ni wigi tosha? Hivi luv bibi yako anaasili ya Asia? Au..
Mda mwingine zinanyofoka, zinaua stimu kabisa,
Na mawigi hutokana na nywele za watu waliokufa.....
Mkuu hapana, mimi ukiwa na wigi tuu umesha disqualify...
Napenda asili
Kwa hio mtoto idara zote mashallah...neema za Allah nazo kajaaliwa unampiga chini kwasababu kavaa wig? mi nitavumilia halafu nitamshauri abadili style ya nywele baadae.
Ligi inaendelea, mechi ni kati ya wanawake wenye mawigi vs wanaume wenye vitambi hadi tunaenda break matokeo ilikua ni bila bila..... Tupate tangazo kutoka kwa wadhamini kisha tutakupeleka moja kwa moja kwenye kipindi cha pili :spy:
Kwa hio mtoto idara zote mashallah...neema za Allah nazo kajaaliwa unampiga chini kwasababu kavaa wig? mi nitavumilia halafu nitamshauri abadili style ya nywele baadae.
Mshakula kama vinne hivi...bila majibu....wanawake wenye hips za tumbo na mawigi ya nik minaji...
Te teh..i wish nkuone evelyn na lile wigi lako la kipind kileee
Mkuu hapana, mimi ukiwa na wigi tuu umesha disqualify...
Napenda asili