Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

Kama ni uhalisia tungebaki uchi😉😉😉
 

Attachments

  • 1448219266894.jpg
    1448219266894.jpg
    33.7 KB · Views: 132
Pesa ndogo naomba unielewe huwa cwafuati tunakuwanao ktk magari ,maofisini hata kupishana nao wakuwa na unpleasant smell cjui nimafuta wanapaka yanaitwaje vile?team natural from hair to dark skin.

Ha ha ha ha ha haaa, labda ni uchafu binafsi
 
Teh nimeongeza na mengine kibao mbona

Uache sasa...jamaaa katoa tamko. Vipi shem wangu hajawahi kumaind...
maana bro Kaboom kasema unaeza shika kichwa ukakutana na mabonde, na mteremko
 
Last edited by a moderator:
Sio uchafu binafsi, wigi linatema lenyewe maana tofauti na nywele za kawaida lenyewe haliruhusiwi kugusa maji

Litanukaje si maduka yangekuwa yananuka😩😕? Jasho la kichwani kutokana na mhusika kukaa na msuko huo mda mrefu hata kichwani kuna jasho... suala la kuweka nywele bandia na usafi wa kichwa ni hoja mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom