Halafu nina uzoefu wa kutend pets, hivyo nitakuwa namtawadha na kumswaki paka wako!
shop-shop so as to chop chop hela ya muzungu hata kama ni kununua toothpick ebo!we Kongosho vipi bana!
Mume wangu anaamka asubuhi anawaandaa watoto ready kwenda Shule anawatengezea breakfast na Ana brew coffee , Ana kuja juu chumbani ananipa tea na anakunywa coffee na mimi.ninaangalia news fox news na wanangu wanakuja wananipa hug na wanaenda Shule baba ao anawapeleka.i have a nanny mexicano anakuja kusafisha nyumba .naamkaga saa 6 mchana mume wangu always lazima arudi lunch .baada ya lunch naoga navaa shopping na kuongea na simu na kwendaga ofisini kwa mume wangu kumsubiri atoke kazini.mama mkwe wangu anawa pick wanangu shule kwa sababu wanaenda music evening classes.most if 80 percent we eat out .mume wangu anapikaga 20 percent .siipikagi .every day 6pm Mimi na mume wangu tuna enda gym na massage na kila Friday manicure pedicure and spa .every saturday and Tuesday palate .shopping is what I
Love most and make love to my hubby
chezeya muke ya muzungu wewe! The Boss hii ratiba naomba uiaplai please ahahahahhahhaha
over ur dead body najua utanijibu lol!
mie leo nikinunua bigj kesho naenda mlimani city kununua lesso,keshokutwa naenda mariedo kununua lipstick keshokutwa naenda marrybrown kununua skonzi hvo hivo mradi nichop chop the moneyha ha ha ha, lol
hadi nimepaliwa, jamani.
Watu mna mbinu za kuchop mani.
Mie nimewaza ninunue panga shoka, mundu, mkuki hadi nikachoka.
sina paka nina kile kimbwa kidogo, chihuahua.
Labda uwe unampeleka medical check up kule ujeruman.
Lakini kuongozana na mie sidhani, mama yako ana hata cheti cha UPE?
Hapa natalia anazungumzia 'boring rich life'
wengi tunaipenda na ku fantasize pengine
eat out often,shopping often na kadhalika
ambacho most women hawajui ni kuwa
wanaume ambao wanaishi hii 'boring rich life'
huwa pia wanaamka siku moja na kukuta
'their wives are so boring' lol
na hapo huanza ku fight the boredom ...
hii nayo nikesi nyingine lol
Shopping make up and funny .
No I'm very conservative and I watch fox news,history channels ,shopping on line ,e.t.chautoki kitandani siku nzima??
Baada ya chai inakuwaje?
Nataka nidese kidogo kama napatia.
Mie chumbani kuna simple automatic tea station, so napata pale pale.
Kwenye ratiba yako hakuna muda wa kuangalia the kadarshians?
sio mzima huyu!mi juzi kidogo nimpe ile pacha wangu SnowBall anaita benefit of doubts lakini aha kumbe duh ningepoteaje maboya!huyu mdada alipotelea wapi sijui?
threads zake zinatakiwa kusomwa na wanawake wenye akili tu, i.e. unachanganya na zako.
nina uhakika kabisa ndoa ilishamshinda zamaaaaaaaaaaaaani, yupo hapa kutafuta kama atapata VILAZA wa kuwa nao kwenye list ya WASIODUMU NDOANI, lol!
hiyo life labda kama anaisoma kwenye novel au kuangalia movie yake, I bet hana hiyo life styleHapa natalia anazungumzia 'boring rich life'
wengi tunaipenda na ku fantasize pengine
eat out often,shopping often na kadhalika
ambacho most women hawajui ni kuwa
wanaume ambao wanaishi hii 'boring rich life'
huwa pia wanaamka siku moja na kukuta
'their wives are so boring' lol
na hapo huanza ku fight the boredom ...
hii nayo nikesi nyingine lol
Mume wangu anaamka asubuhi anawaandaa watoto ready kwenda Shule anawatengezea breakfast na Ana brew coffee , Ana kuja juu chumbani ananipa tea na anakunywa coffee na mimi.ninaangalia news fox news na wanangu wanakuja wananipa hug na wanaenda Shule baba ao anawapeleka.i have a nanny mexicano anakuja kusafisha nyumba .naamkaga saa 6 mchana mume wangu always lazima arudi lunch .baada ya lunch naoga navaa shopping na kuongea na simu na kwendaga ofisini kwa mume wangu kumsubiri atoke kazini.mama mkwe wangu anawa pick wanangu shule kwa sababu wanaenda music evening classes.most if 80 percent we eat out .mume wangu anapikaga 20 percent .siipikagi .every day 6pm Mimi na mume wangu tuna enda gym na massage na kila Friday manicure pedicure and spa .every saturday and Tuesday palate .shopping is what I
Love most and make love to my hubby
Hata hiyo basi, kweli mama yangu nimemfundisha juzi tu kuandika jina lake leave alone hicho cheti cha UPE.
Ila unlike wewe na Natalia mnaoringia masters za mama zenu, mimi ninayo ya kwangu.
Mnaoringia zero digits 7 za $ za waume zenu mini ninazo 3 za kwangu.
Nilikuwa nafanya research wakati ule.sielewagi mapenzi ya kiafrica kwa kweli,mtu unaolewa na mtu Hana Kazi au nyumba.nilikuwa nataka kujua reaction zenu .mpo nyumba mnoosio mzima huyu!mi juzi kidogo nimpe ile pacha wangu SnowBall anaita benefit of doubts lakini aha kumbe duh ningepoteaje maboya!
yaani huyu post zake huwa nazisoma ili niangalie ushizi wake umefikia wapi, mtu kama huyu hata kumsaidia haiwezekanisio mzima huyu!mi juzi kidogo nimpe ile pacha wangu SnowBall anaita benefit of doubts lakini aha kumbe duh ningepoteaje maboya!
mweeeeeeee, Kongosho ulivyokula miguu ya kuku huko chumbani kutakalika? hizo ni fani za watuhautoki kitandani siku nzima??
Baada ya chai inakuwaje?
Nataka nidese kidogo kama napatia.
Mie chumbani kuna simple automatic tea station, so napata pale pale.
Kwenye ratiba yako hakuna muda wa kuangalia the kadarshians?