Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

Raha ya mziki spika ziwe na mdundo wa kutosha na majirani ni mazombi kufuatilia mziki husio wahusu
 
he he he kuna kaex kangu kalikuwa kanamuita mama yake.....utasikia mama njoo mama njoo mwanao nakufa njoo mama.....
 
Habari zenu bandugu.

Sio siri niweke wazi kwamba kuna baadhi ya mademu wanapenda kupiga kelele kupita kiasi wakati wa kungonoka.

Inafikia hatua mzee mzima unakosa raha unahisi majirani wanasikia.

Hivi kinachowafanya mpige kelele ivo ni nn? au wizi tu

Wakati wa kufika kileleni, kelele/milio nk havikwepeki!

Wala hutamkumbuka jirani muda huo unless anakuibia!
 
kila muziki unaopigwa huwa na chorus, sasa hayo makelele ni kama chorus ya muziki ili kunogesha shughuli yenyewe.... Muziki chorus bwanaaa asikuambie mtu, then ujue kumfanya a "skwiti" mbona raha!!! Pia hii chorus wanayotoa huhamasisha mpiga vyombo aongeze juhudi na ufundi zaidi..

Hakuna lolotee wizi mtupuuu! Inamaana hizi gegedo zimekuwa tamu kuliko zile zilizokuwa zinawagegeda wazazi wetuu??? Mikelelee kama unakufa ya nini. vibresheni+miguno ya kistail mbona toshaa tuu. Mwngne sasa utamfanya men ashiiituke ajue unashida kumbe uko location unamchezea sin. Achen ulimbukeni. Enzi za mwl kugegedana ilikuwa ni sehem ya kuzungumza mambo ya familia wkt kitu kipo ndani unakibania alafu unamwambia baba manka unajua manka hana viatu vya shule, gudluk naye nguo saake za shule zimechakaa wkt huo kitu unakizungushia nyonga tariiitbuu na umebana pc. Hapo baba manka anasema ha.... ha hayyyaaaaa haya kuna hela sh 100,000 kwenye shati,suruwale,koti yangu chukuwa zote kawanunulie na vitu vyako vidogovidogoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom