Chandaruaz
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 235
- 36
Wanaume pia wapo wapigaji kelele tena ukiwasikia ni worse! Yupo mmoja jirani yangu hapa akianza hatulali ukijumlisha na za girlfriend wake tabu tupu.
Hahahahaaa nimefurahi kinyama,yaan kuna wanaume wanakelele looooh,basi ziwe za kawaida na maneno pia,ataropoka hapoooo mmmh,hd na matusi.