Wanawake acheni hii tabia ya kutopendana siyo nzuri

kama wewe ni mchangamfu na una tabia ya kuwapa watu lift,tena wanawake asingenuna,lol

otherwise hakuamini,vitu vingine havijifichi,siku moja ukweli utajulikana tu,kuwa umeolewa lakini mumeo humuamini,utajificha weeeee siku unakuwa tested,mambo yanajulikana,heheeee

upande mwingine huyo dada HAJIAMINI,either kwa umbo,sura,au alishawahi kuwa cheated before,etc,inabidi umuhakikishie constantly SHE IS BEAUTIFUL AND YOU LOVE HER......

lastly mambo ya kujirusha mpaka saa sita za usiku ni za vijana,,watoto wanahitaji muda wenu
 
Hivi mkuu hapo pia unaumiza kichwa na kuweka akilini kwamba hatupendani kwa kitu hicho. Lol.

Mapenzi ni kitu kingine aisee. Muache tu aisee ni haki yake.
Hahahahh

Tatizo ubinafsi unawamaliza. Usipende unufaike wewe mwenyewe muachie mwenzako nae apate raha.

Mnatamani ingekuwa inachomolewa ili muifungie nyumbani tusiondoke nayo.
 
Huwa natoa msaada bila kuangalia jinsia au ulivyo Mkuu.
Vzur kama upo hvyo ila wakat mwngne shetani yupo kazn uwe makin, huruma na ubinadamu wako hauwez kuthaminiwa na kila mtu wapo watakaoutumia kama silaha ya kukumaliza,take care brother and God blesses u
 
kama wewe ni mchangamfu na una tabia ya kuwapa watu lift,tena wanawake asingenuna,lol

otherwise hakuamini,vitu vingine havijifichi,siku moja ukweli utajulikana tu,kuwa umeolewa lakini mumeo humuamini,utajificha weeeee siku unakuwa tested,mambo yanajulikana,heheeee

upande mwingine huyo dada HAJIAMINI,either kwa umbo,sura,au alishawahi kuwa cheated before,etc,inabidi umuhakikishie constantly SHE IS BEAUTIFUL AND YOU LOVE HER......

lastly mambo ya kujirusha mpaka saa sita za usiku ni za vijana,,watoto wanahitaji muda wenu
Sawa Mkuu....Rebeca!

Nampenda sana hata yeye anajua maana kila kitu kipo wazi Mimi na yeye.
 
Ingekuwa bora zaidi. Labda kama unaishi kama simba ndani ya nyumba ndio inakuwaga ngumu kutaka ushauri wa mtu.
Kuna vitu vya kumshirikisha ila siyo hicho Mkuu.
 
Vzur kama upo hvyo ila wakat mwngne shetani yupo kazn uwe makin, huruma na ubinadamu wako hauwez kuthaminiwa na kila mtu wapo watakaoutumia kama silaha ya kukumaliza,take care brother and God blesses u
Point noted brother!
 
Hahahahh

Tatizo ubinafsi unawamaliza. Usipende unufaike wewe mwenyewe muachie mwenzako nae apate raha.

Mnatamani ingekuwa inachomolewa ili muifungie nyumbani tusiondoke nayo.

Sio ubinafsi mkuu. Hivi kama ni wewe unaweza kukubali na wanaume wenzio wanufaike kwa uliye naye?

Kwa hili tuko sawa tu hata iweje.

Tatizo siku zote upande wenu ndio mnaoupa wepesi.
 
Sawa Mkuu....Rebeca!

Nampenda sana hata yeye anajua maana kila kitu kipo wazi Mimi na yeye.

haitoshi mkuu,unampenda anajua lakini unapenda na wengine,na hili analijua pia,acha kupandisha wanawake kwenye hilo gari,unamsababishia majeraha,mie nimempenda maana sio mnafiki,lol kwa kuonyesha kabisaaa kuwa haipendi hio tabia
 
Back
Top Bottom