Wanawake acheni hii tabia ya kutopendana siyo nzuri

Wanawake acheni hii tabia ya kutopendana siyo nzuri

Wacheni kufanya mambo magumu yawe mepesi ungekuwa wewe halafu nimekutana na mwanaume nikafanya hayo uliyoyafanya we ungefurahi.

Kwa hili hakuna mwanamke wala mwanaume hapo.
Kwani kuna kibaya alichofanya zaidi ya kumpa lift jmn

Mara nyingi wanaume huwa siyo watu wa kumynd sana kwenye ishue kama hizi, nyongo yetu huwa iko mbali sana
 
Mimi ningekubali,kwani kutoa msaada wakati unaona mtu anashida kuna ubaya gani,mbaya zaidi hata kama sikupendezewa,huyu kapewa lift ,sasa unamkasirikia kwa nini,kosa lake ni lipi.
 
Wacheni kufanya mambo magumu yawe mepesi ungekuwa wewe halafu nimekutana na mwanaume nikafanya hayo uliyoyafanya we ungefurahi.

Kwa hili hakuna mwanamke wala mwanaume hapo.
Aisee!

You have a point. Ingawa wanaume huwa hatuna noma sana kama nyie.

Wanawake mmetoka kwenye ubavu wetu hivyo hamuwezi fanya kama tufanyavyo sisi.
 
Sion sababu ya kununa au alijua mnafahamiana? Mmh so angekuuliza tu?

Anyway tuko tofauti.
Ungekuwa wewe ungeona sawa duuh. Kuwa tu mkweli. Mtu usiye mjua apakiwe na mume / mpenzi utafurahi kweli.

Hongera aisee una moyo wa kipekee my dear.

Mimi angenishirikisha kwamba ampakie au amuache labda hapo ila maamuzi ya peke yake ningenuna tu aisee.
 
hivi wenzangu wanawake unaweza simama kisa ni usiku upo na mume na ww mke unaendesha kisa umemuona tu kijana anatembeatembea ati unamuonea huruma umpe lift hivi ni kwa wanaume hawa hawa au mie wangu ni tofauti?msitusumbue jaman!geuzeni km ni ww men utaweza kubali mkeo ampe lift men??
Huwezi fanya hivyo hata siku moja.

Kamwe sitokuelewa kwa hilo kabisa endapo utafanya hivyo.

Usitake kushindana na wanaume.
 
Huwezi fanya hivyo hata siku moja.

Kamwe sitokuelewa kwa hilo kabisa endapo utafanya hivyo.

Usitake kushindana na wanaume.



hahahahahhahahahahahhah naishia hapa! basi kuanzia leo elewen usimfanyie mtu kitu usichopenda fullstop!yaan mm ww ningekusubirishia hata mwaka mmoja upite ningempa lift mkaka(tena muda wa kutoka kanisani ndo mtamu) handsome kaenda hewan black fulan amaizing! hehhe ungenijua! pyeeee
 
Tatizo ni

  • Kusimama usiku wa giza na kuhatarisha maisha yenu. Je ingekuwaje kama kungekuwa na vibaka around?
  • Kama ni roho ya ubinadamu kwanini hamsimami kuwasaidia "me" in a similar situation?
  • Dharau ya kutomshirikisha kwenye maamuzi, just because it is your vehicle it doesn't mean.................

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] huo ndio ukweli wakubali wakatae.

Kushirikishana muhimu hakuna cha wivu wala roho mbaya hapo
 
hivi wenzangu wanawake unaweza simama kisa ni usiku upo na mume na ww mke unaendesha kisa umemuona tu kijana anatembeatembea ati unamuonea huruma umpe lift hivi ni kwa wanaume hawa hawa au mie wangu ni tofauti?msitusumbue jaman!geuzeni km ni ww men utaweza kubali mkeo ampe lift men??
Umesema neno my dear na kama mimi mfano hai ninao kwangu mwenyewe. Boss hapa nyumbani yuko radhi uende kazini kwenye kausafiri uko peke yako na si kumpa lifti mwanaume.

Hivyo hii tabia haina mwenyewe kwa kila anayefanyiwa lazima aumie tu.
 
Tukiwa njiani tunarudi nilishituka na kushangaa sana kumuona mdada mzuri sana mwenye kila sifa ya kuitwa mrembo akiwa anatembea na ukizingatia muda ulikuwa umeenda sana
Kwa maelezo haya hukutoa msaada kwakuwa huyu dada alikuwa akitembea usiku bali ulitoa msaada kwakuwa ulimtamani,saa nyngne mtapakiza majini sababu ya tamaa,unasema dada mrembo kwani huyo shemej yetu ni mbaya?ungekutana na mwanaume ungempa lift?vipi ungekutana na mtu mwenye ulemavu ungempa lift?
 
Habari za Jumapili wana MMU. Ni matumaini yangu kuwa siku ya Leo imeenda sawa kwa kila mwana JF na kama haikuwa nzuri kwako pia ni jambo la kushukuru pia.

Bila kuzunguka sana na maelezo mengi ngoja nieleze lengo la hilo bandiko. Ni kwamba weekend iliyopita tukiwa tumeenda kupunga upepo moja ya sehemu maarufu sana hapa Dar es salaam.

Baada ya kufika hilo eneo nikiwa na shemeji yenu tulikunywa na kubadilishana mawazo ya hapa na pale mpaka Ilipofika mida ya saa 6 usiku tukaamua turudi nyumbani tukapumzike.

Tukiwa njiani tunarudi nilishituka na kushangaa sana kumuona mdada mzuri sana mwenye kila sifa ya kuitwa mrembo akiwa anatembea na ukizingatia muda ulikuwa umeenda sana.

Kwa vile sina hiyana nilisimamisha gari nikamuuliza anaelekea wapi akataja sehemu ambayo nilikuwa naelekea. Basi nikamwambia aingie kwenye gari tuanze safari.

Alipoingia akatusalimia kwa uoga fulani hivi lakini shemeji yenu niliyekuwa naye hakuitikia ingawa alisalimiwa kama mara tatu hivi.

Basi nikataka kujua sababu ya kusalimiwa na kukaa kimya. Nikaona amebadilika ila sikujali ikabidi nimmaindi na kumuweka sawa.

Tukiwa tunaeendelea na safari nilizidi kupiga sana stori na yule mdada na ukizingatia Mimi ni mchangamfu sana hivyo sikuwa na sababu ya kumkaushia yule mrembo kwa sababu niko na shemeji yenu.

Kwa upande wa shemeji yenu alikuwa hachangii bali alivuta mdomo kama greda linalong'a kisiki na kujifanya yuko bize sana na simu yake.

Baada ya kukaribia eneo analoshukia yule mrembo alinijulisha na baada ya kufika pale nilimshusha na kuendelea na safari yetu.

Mpaka tunafika home shemeji yenu alikuwa hataki kuongea na Mimi.

Sasa naombeni mnisaidie hapo. Je kuna kosa nililofanya? Au kumsaidia yule mdada ndilo tatizo?

Kwanini nyie wanawake hampendani? Ni roho mbaya tu au ni ile kuwa na kiburi na kujisikia?

Kumbuka kuitikia salamu haikutii mimba hata kidogo.

Acheni hiyo tabia wakati mwingine naona kama ni ushamba fulani hivi mlionao.
Hata hivyo huyo shemeji yetu ni mzalendo mpongeze kwa hilo wengine hawapendagi ujinga kama huo
 
Back
Top Bottom