Wanawake acheni hii tabia ya kutopendana siyo nzuri

Wanawake mara zote wanataka input sio output. Ukikopa kwa mwanamke atavumilia mkopeshe mwanamke uone.
Anapenda vyake sio vya wenzake. Mfano watoto au ndugu. Wanna hi sifa ya level ya chini kabisa "as animal beings" hata mtetea hapendi watoto wa mwenzie lakini jogoo hali mind hayo
KWA HIYO HAYO YALIYOKUKUTA HAYASHANGAZI
 
Aiseeh bora huyo mkeo alitumia busara kununa, lakini ingekuwa mimi ningeshuka kabisa ili mpakiane kwa amani
Acha mambo yako..Ney

Huo ni udhaifu mkubwa sana usije fanya hivyo hata siku moja.

Unafikiri ungemkomoa nani sasa kama siyo wewe mwenyewe?

Huwa unapotelea wapi wewe mwanamke?
 
Hawapendanagi hao mkuu mambo mengine ni kuyaacha kama yalivyo hutoweza kubadili hilo
 
Ungekuwa wewe ungeona sawa duuh. Kuwa tu mkweli. Mtu usiye mjua apakiwe na mume / mpenzi utafurahi kweli.

Hongera aisee una moyo wa kipekee my dear.

Mimi angenishirikisha kwamba ampakie au amuache labda hapo ila maamuzi ya peke yake ningenuna tu aisee.

Nina wivu shoga kuliko unavyodhani. Ila kuishi na mwanaume inabidi utumie akiri.
Binafisi pale nisingeonesha dalili yoyote. Tukifika home ningemuuliza yule ni nani? Baada ya hapo naanza kufatilia kivyangu nikigundua tuu huo moto utazimwa na zima moto.

Kwa kesi ya huyu hata salamu hakuitikia as if anajua kuwa kuna kitu before.
Wanaume ni wazinzi sana so ku deal nao usikurupuke dia
 
Hawapendanagi hao mkuu mambo mengine ni kuyaacha kama yalivyo tu
 
Wanawake mara zote wanataka input sio output. Ukikopa kwa mwanamke atavumilia mkopeshe mwanamke uone.
Anapenda vyake sio vya wenzake. Mfano watoto au ndugu. Wanna hi sifa ya level ya chini kabisa "as animal beings" hata mtetea hapendi watoto wa mwenzie lakini jogoo hali mind hayo
KWA HIYO HAYO YALIYOKUKUTA HAYASHANGAZI
Hahahahhahah
 
Nina wivu shoga kuliko unavyodhani. Ila kuishi na mwanaume inabidi utumie akiri.
Binafisi pale nisingeonesha dalili yoyote. Tukifika home ningemuuliza yule ni nani? Baada ya hapo naanza kufatilia kivyangu nikigundua tuu huo moto utazimwa na zima moto.

Kwa kesi ya huyu hata salamu hakuitikia as if anajua kuwa kuna kitu before.
Wanaume ni wazinzi sana so ku deal nao usikurupuke dia
Napita tu
 
Hahaa. Ila ukisubiri nyumbani my dear atapata cha kujitetea raha ni pale pale kwanza huko nyumbani tunaenda kumalizia [emoji85].

Usijali my nimekuelewa sana. Ila kazi ipo aisee
 
Back
Top Bottom