Wanawake acheni hii tabia ya kutopendana siyo nzuri

Tatizo ni

  • Kusimama usiku wa giza na kuhatarisha maisha yenu. Je ingekuwaje kama kungekuwa na vibaka around?
  • Kama ni roho ya ubinadamu kwanini hamsimami kuwasaidia "me" in a similar situation?
  • Dharau ya kutomshirikisha kwenye maamuzi, just because it is your vehicle it doesn't mean.................
Niliona nimsaidie maana siyo vizuri mrembo kama yule kutembea usiku halafu mwenyewe.

Kuhusu vibaka ni ishu ndogo sana kwangu.

Pia kuhusu kusaidia huwa sibagui kabisa eti huyu ni ME au KE ngoja nisimsadie.

Kuna msemo usemao kuwa usimdharau mtu hujui wa kukuzika.
 
Pole sana,kina mama wana matatizo,mkiwa pamoja hataki uonyeshe ukarimu kwa mwanamke kwingine,kwangu hiyo naiona ni roho mbaya.
 
Tatizo ni

  • Kusimama usiku wa giza na kuhatarisha maisha yenu. Je ingekuwaje kama kungekuwa na vibaka around?
  • Kama ni roho ya ubinadamu kwanini hamsimami kuwasaidia "me" in a similar situation?
  • Dharau ya kutomshirikisha kwenye maamuzi, just because it is your vehicle it doesn't mean.................
Mwenye maamuzi nani, gari yangu mwanamke awe ndo mwenye maamuzi! Hapa naona na ww majibu yako "kwnn hamsimami kusaidia me" ni muendelezo wa roho mbaya za wanawake. Wanaume wanatoa lift bila hata kujali he/she. Labda awe na privacy na she.
 
Sitaki nimkumbushie hata kidogo maana akikumbuka ataninyima Mkuu.

Siku hiyo nilibembeleza hatari wapi.
Ila ukweli wanawake hatupendani kbsa.mi ishanitokea nimeingia kwenye bajaji nikamkuta mdada nilimsalimia zaidi ya mara mbili jamni hakuitika nyie yule dada..nikajiuliza niko na malkia nini kumwangalia vizuri nikamuona ***** tu.

Hebu tuwen tu Wa kweli wanawake wenzangu kwanini baadhi yao huwa wanaringa jmn???hata salamu kweli unamnyamazia mtu!!!!

Yani almanusura ni mnase kibao aki tena.nikajisemea moyoni huyu akidondoka simuokoti nampita kama kinyesi.mxiuuuuuuuu wanawake wa namna hiyo
 
Pole sana,kina mama wana matatizo,mkiwa pamoja hataki uonyeshe ukarimu kwa mwanamke kwingine,kwangu hiyo naiona ni roho mbaya.
Ukweli mtupu Mkuu.

Hizi roho mbaya zitawafikisha wapi?
 
Ila ukweli wanawake hatupendani kbsa.mi ishanitokea nimeingia kwenye bajaji nikamkuta mdada nilimsalimia zaidi ya mara mbili jamni hakuitika nyie yule dada..nikajiuliza niko na malkia nini kumwangalia vizuri nikamuona ***** tu.

Hebu tuwen tu Wa kweli wanawake wenzangu kwanini baadhi yao huwa wanaringa jmn???hata salamu kweli unamnyamazia mtu!!!!

Yani almanusura ni mnase kibao aki tena.nikajisemea moyoni huyu akidondoka simuokoti nampita kama kinyesi.mxiuuuuuuuu wanawake wa namna hiyo
Kweli nyie ni wa ajabu sana maana kama wenyewe hampendani. Je mnatupenda sisi kweli au ni kiunafiki zaidi?
 
Tatizo halishii hapo,angalia hata kwenye siasa,wakigombea nafasi fulani mwanamke na mwanamme anapita mwanamme tena kiulaini,kisa wanawake kudharauliana,sasa usawa wanaoutaka utapatikana wapi kama hawapendani.
 
Akili zao ni kama akili za watoto wadogo.

Pia naona tatizo lingine ni kutumia moyo kufanya uamuzi badala ya kushirikisha ubongo!
 
Daaah tayari ushasema mrembo mzuri kwa hyo ungekuwa peke yako usingemwacha salama
 
hivi wenzangu wanawake unaweza simama kisa ni usiku upo na mume na ww mke unaendesha kisa umemuona tu kijana anatembeatembea ati unamuonea huruma umpe lift hivi ni kwa wanaume hawa hawa au mie wangu ni tofauti?msitusumbue jaman!geuzeni km ni ww men utaweza kubali mkeo ampe lift men??
 
Back
Top Bottom