darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,924
- 6,160
Pale mkoa x kuna tajiri mkubwa sana pesa ipo ila mkewe kaliwa na kinamaa fulani hivi kilala hoi na ilikia daily yule mama anaipeleka mwenyeweSiku hizi ukitaka kuoa hakikisha una hela za kutosha mkeo kuzichezea, huna hela mke utamchora chini. Wazazi wenyewe hawataki binti yao aolewe na kijana asiye na hela, wanataka kuona binti ya haishi maisha ya dhiki ndoani kwa kapuku. Hata kulakula nyabe za mitaani kama huna hela ni bora ukae hivyohivyo bila kulabua, hakuna nyabe za bure siku hizi
Tafuta pesa kusaidia ndugu jaamaa na mkeo na watot ila kwa demu umechemka mzeer kuna tajiro mkubwa mkoani mkewe kaliwa sana na kijamaa tu kidogoHoja ya kutafuta Hela nakubaliana nayo
Hyo ya kutafuta ili umridhishe mwanamke hyo baki nayo
Hakuna formula moja kwa kila mtu, huyo Malaya wako unafanya ndio SI unit ya wanawake wote
Umeelewa comment yangu kweli au umekurupuka kujibu.Tafuta pesa kusaidia ndugu jaamaa na mkeo na watot ila kwa demu umechemka mzeer kuna tajiro mkubwa mkoani mkewe kaliwa sana na kijamaa tu kidogo
Mi sija kujibu mkuu nime reply kupitia wewe kuhusu mada tajwa hapo juu, labda nikuulizze wewe hivi umeelewa hiki nilicho andika mkuu?au umekurupuka tu kuvamia vituUmeelewa comment yangu kweli au umekurupuka kujibu.
Umeniquote halafu unasema hujanijibu au umeanza kutumia jf janaMi sija kujibu mkuu nime reply kupitia wewe kuhusu mada tajwa hapo juu, labda nikuulizze wewe hivi umeelewa hiki nilicho andika mkuu?au umekurupuka tu kuvamia vitu
Kuku quote ndio kumekuchanganya? Naweza kukupigia simu wewe, nikakwambia mpe fulani niongee nae, kumbe lengo sio kuongea na wewe ila nimetaka kuongea na mwingine kupitia wewe, usikaze sana misuli ya kichwa, chaaooooowUmeniquote halafu unasema hujanijibu au umeanza kutumia jf jana
Hiyo ni special case na hakuna mwanamke wa namna hiyo kiuhalisia.Unapata mkuu hujakutana na demu alie chezewa na akatelekezwa mkuu, wanakua wamechoka vihoja nina ushubuda nilipendwa na demu matawi ya juu nikawa namuogopa siku moja alinambia amewapa sana wanaume moyo wake na wameishia kumuumiza tu, hivo yupo tayari hata kudate na mzoa taka kikubwa upendo wa kweli.
Nilipo kua naisshi wale madada mbona walikia wanahudumia wame zao
Sawa mkuu,Unaweza kusema hivyo kama hauna cha kuvutia zaidi ya pesa tu. Kama hujui kukaa na wanawake kwa akili.
Hao hao wanawake unaowasema kuna wanaume wengine wanapewa channel za maisha nao hao wanawake.
Yani kuna mwanamme anapata channel ya kutoboa maishani kwa mwanamke, na wala si Mario, ni mpambanaji, mwanamke ndiye anamuona huyu mpambanaji wanajiunga pamoja mtu anapata channel anaitoa.
Wewe unamuona Reginald Mengi mfanyabiashara mkubwa ana pesa, lakini hujui stories za alivyoanza kiwanda cha peni na Mama Mercy. Tunakwenda kuwaita kina marehemu Rodney Mutie watoke nje kucheza mpira Upanga, wanakatazwa na mama yao, wanasema mama katupa kazi.
Kumbe wanajaza wino kwenye peni ndani kwao Upanga.
Baadaye tunastuka watu wana kiwanda cha peni.
Mama Mercy kasimamia michongo, katoa connections zake.
Nje watu wasioijua familia wamemuona Mzee Mengi tu.
Hizo hela unazozitafuta unadhani sio za kumfanya mkeo asiteseke?Hoja ya kutafuta Hela nakubaliana nayo
Hyo ya kutafuta ili umridhishe mwanamke hyo baki nayo
Hakuna formula moja kwa kila mtu, huyo Malaya wako unafanya ndio SI unit ya wanawake wote
Sasa hao wanawake wa4 uliwala bure? Unadhani kama wangekuwa na wanaume wenye pesa na kila kitu wangebaki kuwa single mothers?Sina uhakika sana ila unaweza kuwa na point na unakiwa kuzingatiwa katika baadhi ya maeneo.
Ila hilo ulilosema lina kaukweli flan japo ndio hivyo sio wote, ila kwa mimi, dhe last 4 women ambao nimekula october/november hii wote ni single mazas na wote nimewala the very first day nimewaalika maeneo.
POint ni nini hapa? Point ni hii, wanawake wengi sasa hivi hawawez kujizuia na kila mmoja ana sababu zake, na sababu moja wapo ni ubaharia, hata wao pia wapo ambao wana mindset kama hii yako, hawataki mahusiano wanataka ile one time chap kila mtu njia yake au on & off yan msigandane.
Kwahiyo kwa mwanaume jambo la msingi ni kujua UNATAKA NINI na HUTAKI NINI.
Basi.
hiyo ni generalizationHao wake za maskini ndio wanagongwa kimasihala isivyo kawaida.