Trust me, wanaume wa tz ndo my only number, hata mkenya staki kusikia! Watz hata waishe wote, bora nihamie kwenye ukameruni (god forbid). Ila mweupe, over my dead rotten body!
Kwani unanionaje bro?
Hivyo mnakubaliana na kauli au swali la Eiyer hapo chini?
"Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?"
Kupenda makalio makubwa ni ujinga wa wanamme au preference?
Same applies to ngozi
Again hapa pananichanganya, unachagua kumpenda mtu au unachagua kuwa na mtu. kama ni kumpenda, sidhani kama moyo unaangalia rangi, kabila, taifa au hata dini.
Lets make records clear hapa, halafu ili watu waelewe tuseme unachagua kuwa na mtu gani na kwanini!
Personally, nitaenda kwa moyo utakaponipeleka, ukinipeleka; otherwise for convenience nitakuwa na yule ambaye naye anataka kuwa na mimi na hakuna gharama (si lazima pesa) za kurelocate, kugombana na familia, etc.
Again hapa pananichanganya, unachagua kumpenda mtu au unachagua kuwa na mtu. kama ni kumpenda, sidhani kama moyo unaangalia rangi, kabila, taifa au hata dini.
Lets make records clear hapa, halafu ili watu waelewe tuseme unachagua kuwa na mtu gani na kwanini!
Personally, nitaenda kwa moyo utakaponipeleka, ukinipeleka; otherwise for convenience nitakuwa na yule ambaye naye anataka kuwa na mimi na hakuna gharama (si lazima pesa) za kurelocate, kugombana na familia, etc.
njaaa zao tu, kwani mengi ni mzungu? Mbona anawamega
mmmh kila kitu kina sifa zake kinachokitofautisha na kingine...hatupo sawahawajui wanalosema.... Ni another racism tu, rangi haidetermine sexual or rmantic qulities
eheheee mimi sijawai kuwa na mzungu ila naamini wao ni the best....mnyonge mnyongeni lakini..
Da Mkubwa Kaunga. HHili swali ni la msingi sana kwa hii mada. Hata hivyo bado halieleweki vizuri kwa sababu akisema ngozi na tabia inabidi alipanue swali lake kwa ufafanuzi zaidi. Nielewavyo mie akimaanisha ngozi (Kwa maana ya watu wenye ASILI nyeupe yaani wazungu/wahindi na sijui wanani) hii itaendana na aina ya malezi na tamaduni zao ambavyo ni vitu vyenye effect/impact kwenye tabia ya mtu husika. So tukisema wazungu na waafrica ni wazi watakuwa na tabia tofauti hatuweziwalinganisha kwani wanatoka kwenye malezi na tamaduni tofauti
Ila kama anazungumzia rangi ya ngozi nashindwa kumwelewa kwa sababu kama ni mbongo lakini mweupe hawezitofautiana na mbongo mwenye rangi nyeusi ilmradi wawe wametokea kwenye tamaduni sawa!.
ameeeenUwe pink, zambarau, mwekundu, mweupe, mweusi, manjano, brown .... kama unamtarimbo I like you .
Tofauti mi ninayo angalia ni kitu kingine kabisa na si skin colour. What's the point of having a white or a pink man ambaye ha'" faction properly down under '"
moyo mdanganyifu usijaribu....
Unajua kwanini nimeuliza hilo swali?
Eiyer kataja watu wanaoprefer white,
n most of us here, wamesema wanaprefer blacks, so wote ni wajinga kama ni kimjibu Eiyer. Of course ni sawa na ........... anaye prefer makalio makubwa! LOL
nimejikuta naongea tu nakwambia, mnisamehe makungwi wenzangu, lolest! Zinduna msamaha mbele kha!Zinduna akakikuta unamwaga mchele kwenye kuku, utakoma! Utarudishwa mkoleni wewe, usimuamshe alielala! Mie wangu ni zaidi ya hao wazungu, aah! Mungu si athumani!
Year Eiyer alikuwa sahihi, wanaume weusi tukihisi tunaibiwa kinawaka kweli kweli na panakuwa ahaptoshi, lakini wanaume weupe aka wazungu mke anaweza kumegwa na akaja kumwambia mumewe kwamba alimegwa lakini hayakuwa mapenzi bali tamaa ya ngono tu na mume akasamehe na maisha yakaendelea.........Mke anaweza kumwambia mumewe....
"I just have sex last night with someone buti it was not love, just sex......"
Na mume akajibu.... "It is ok my love....."
Kwa M-bongo pangechimbika..............LOL