Mkuu uwe basi unatuonyesha na huo ushauri wa wanaume wa hapa unao uita wewe kama ni soft!
Mchumba wangu jana hajarudi home,kwa hasira hizi unataka nisiombe ushauri hapa?
Daaah mbona hauna maadili?sasa mchumba hajarudi homu wataka upewe ushauri wa nini...kuwa wa kiume wewe.....subiri arudi akwambie alikokuwa...then ndo utafakari.....kumbe mchumba tuuu....mbwiga wewe
Daaah mbona hauna maadili?
Mm sio mbwiga banakwani wapi nimesema mbofu mbofu.......mchumba anakuzingua au?
hahahahahaaaa pole bossMm sio mbwiga bana
Ungeoa halafu wife harudi home usiku wote anarudi asubuhi kachoka anapitiliza kulala ungenielewa nisemayohahahahahaaaa pole boss
kaka umesema MCHUMBA..... hujasema mke........kuna tofauti kubwa sana brother......nilishaoa na watoto wakubwa tuu.....then.......Ungeoa halafu wife harudi home usiku wote anarudi asubuhi kachoka anapitiliza kulala ungenielewa nisemayo
Wachumba wa siku hizi ukijitambulisha tu anahamia mkuu!Kaanza visa kabla ya ndoa lkn nampenda sanakaka umesema MCHUMBA..... hujasema mke........kuna tofauti kubwa sana brother......nilishaoa na watoto wakubwa tuu.....then.......
basi usiwe unalalamika mbele ya wanaume......meza kimya kimya.....mbwiga weweWachumba wa siku hizi ukijitambulisha tu anahamia mkuu!Kaanza visa kabla ya ndoa lkn nampenda sana
Usiniingilie kwenye.mahusiano yangu pls!Hata kama wife to be kahaba tutakaa chini tuongee tuyamalize wenyewebasi usiwe unalalamika mbele ya wanaume......meza kimya kimya.....mbwiga wewe
aliekuingilia ni nani sasa.....kama ulijuwa waweza kuyamaliza hapa ulitamka ili iweje......kuwa wa kiume wewe.......Usiniingilie kwenye.mahusiano yangu pls!Hata kama wife to be kahaba tutakaa chini tuongee tuyamalize wenyewe
Ww lzm mtu wa Pwani!Sisi majitu ya Bara huwa hatujui kuchonga ila hapa kazi tualiekuingilia ni nani sasa.....kama ulijuwa waweza kuyamaliza hapa ulitamka ili iweje......kuwa wa kiume wewe.......
utabaki kuwa mbwiga tuu... mchumba hana kesi wewe.....Ww lzm mtu wa Pwani!Sisi majitu ya Bara huwa hatujui kuchonga ila hapa kazi tu
Bye!
Sisi Wanaume Tunapaswa Kua Vichwa Vya Familia Zetu ... Tunapaswa Kuwaongoza wake zetu ...
Wanaume wa humu wanaomba ushauri wamekua soft sana wanaomba ushauri mambo ambayo walitakiwa wawe wanauwezo wa kuyatatua kabisa ...
Sijui wanaume wa siku hizi tunalelewa vipi ??
Tambueni sio kila mwanamke anafundishwa adabu kwao .. Na sio kila anaefundishwa adabu anaweza kuendelea kukuheshimu hata kama usipo kua strong kuisimamia familia ..
Tatizo la nguvu la kiume linaongeza, na pia kulia lia kwenye mitandao ya kijamii pia kunaongezea .. Tunaelekea wapi Jamani...
Step Up Then muongoze mkeo kua LEADER .. Pata Heshima Yako Kwa mkeo kwakua una deserve it sio kwakua wewe ndio umeoa, vimitihani vidogo vidogo mnavyohangaika navyo humu kuomba ushauri unatakiwa uviweze kutatua.
Wanawake hua wana mambo mengi mno vichwani mwao na ni wasumbufu sometimes kama usipo kua strong wewe mtoto wa kiume utaharibu familia yako ...
Punguzeni Kulia lia Jamani..
Jamani "mwanamke akikuangalia kwa macho ya wizi anamaanisha nini" Jamani "mpenzi wangu hapokei simu zangu" Aiseee, kuna haja ya kubadilisha defn ya uanaume