miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ha ha ha bora afe tuMwanaume kukosa nguvu za kiume ni nusu kifo, yaani mtu anakuwa anaishi ila hana hakika kama anaishi.
ha ha ha bora afe tuMwanaume kukosa nguvu za kiume ni nusu kifo, yaani mtu anakuwa anaishi ila hana hakika kama anaishi.
Huyu bwana yerico kapotea mazimaa aisee!!!,mpaka tumeanza kumsahaummmh mkuu jaribu kutumia tafsida maneno makali hayo hao wazee wa zamani wengi ni ccm yatakukuta ya yericko
sijui wamemficha wapi huyu ndugu yetu kweli hii nchi ina wenyeweHuyu bwana yerico kapotea mazimaa aisee!!!,mpaka tumeanza kumsahau
Huyu bwana yerico kapotea mazimaa aisee!!!,mpaka tumeanza kumsahau
Yericko Nyerere ana kesi mahakamani na Invisible amempiga life bansijui wamemficha wapi huyu ndugu yetu kweli hii nchi ina wenyewe
daddy heri ya mwaka mpyaYaani kweli post za humu huwezi tofautisha hii ya mwanaume au mwanamke, wanaume wekeni sheria nyumbani mwanamke akikiuka ni jibu mtumbue ebo
ina maana yericko hatunae au imekuwajeYericko Nyerere ana kesi mahakamani na Invisible amempiga life ban
Na atapewa kweli mimba uje unalia kuomba ushauri.Wadau msaada
Mke wangu kapewa mimba na Boss wangu nifanyeje?Mimi bado nampenda jamani.
Just kidding
Yericko amepigwa ban ya mileleina maana yericko hatunae au imekuwaje
Msaada:Mpenzi wangu hataki kunipa unyumbaYaani sijui ni malezi au shida iko wapi!! Ila hali ni mbaya sana kwakweli, tulizoea kusikia wanaume wakiambiana "usiniletee tabia zako za kike" ila sasa itabidi msemo huu ubadilike tuwe tunaambiana "usiniletee tabia zako za kiume" maana mambo yamekuwa ndivyo sivyo haswaaaa!!
Msaada:Mpenzi wangu hataki kunipa unyumba
Google imewaharibu vjanaUwezo wa kufikir haupo tena kwa vijana bongo zmelala kila kitu wanataka wasaidiwe kufikir na kufanya maamuzi
Teh tehkuwa mpole mbona mimi nimepigwa vibuti vingi tu humu nikatangaziwa ila nimekausha
kwanza kibuti kinapunguza majukumu