Yaani kweli post za humu huwezi tofautisha hii ya mwanaume au mwanamke, wanaume wekeni sheria nyumbani mwanamke akikiuka ni jibu mtumbue ebo
Ila mbona kama na wewe hapa unalia lia?
Alafu babu na wewe kama unalialia
Hahahaaaa! Kwani mjukuu haruhusiwi kutaniana na babu yake?umekua eeh!!
Unaweza kuthibitisha? Wewe ni kundi la wakiume lakini sio mwanaume?Yericko Nyerere ana kesi mahakamani na Invisible amempiga life ban
Nipo nawasoma vizuriina maana yericko hatunae au imekuwaje
Jombaaaaa...umehamia kwenye malavi-davi?Nipo nawasoma vizuri
sasa mchumba hajarudi homu wataka upewe ushauri wa nini...kuwa wa kiume wewe.....subiri arudi akwambie alikokuwa...then ndo utafakari.....kumbe mchumba tuuu....mbwiga wewe
Mm sio mbwiga bana
Jombaaaaa...umehamia kwenye malavi-davi?
Watu wanamiss taarifazako za kijasusi na kiintelijensia kakaaaa...
Kampe Mimba huyo BOss na wewe.
Kidding too
Nimekuja kuwajibu msiendelee kupotosha kuwa mods wamenifungia maishaJombaaaaa...umehamia kwenye malavi-davi?
Watu wanamiss taarifazako za kijasusi na kiintelijensia kakaaaa...
Yericko ulikuwa wapi kaka tulisikia walikukamata ebu thibitisha tulikumis sn expertNipo nawasoma vizuri