Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,870
- 183,167
Yaani sijui ni malezi au shida iko wapi!! Ila hali ni mbaya sana kwakweli, tulizoea kusikia wanaume wakiambiana "usiniletee tabia zako za kike" ila sasa itabidi msemo huu ubadilike tuwe tunaambiana "usiniletee tabia zako za kiume" maana mambo yamekuwa ndivyo sivyo haswaaaa!!