mtutuwajambazi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 520
- 310
- Thread starter
- #121
Shukran kiongozi kwa ushauri. Ntalifanyia kazi hasa hilo uliloliongelea la mwisho.kawaida hiyo mkuu,,,, akili ikihama kidogo,,,,baaass,,,, ila wata usiwe na hofu......using'ang'anie sijui bao nne,,,, hiyo kitu huwa haijai asilani.....jiahidi upate watoto mapema....kip it up man.