Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

kingne ni hchi msipende sana kufata vitu vya mtandaoni we unajua glac ambayo ilikuwa inaongelewa kweny mtandao ina ujazo gani au unajua glac.zote sawa we unakunywa 12 kwel.........kunywa maji yanayokutosha
Najua mkuu. Ndo maana nasoma
 
Mkuu
starch kwenye kugongana ?? kula chakula kizur ushibe .....me kuna siku nimekula mihogo ya jero na mirinda nyeuc nikibania ela afu dem nkamnunulia chipc zege weeee kilichonikuta uko old traford ni bao tatu tu tena za kutafuta sana

Starch ni polysacharides. Ni chanzo kikubwa cha carbonhydrates. Mimea mingi ambayo mizizi yake ni chakula kwa binadmu huhifadhi sana energy. Mihogo, potatoes zina ujazo mkubwa wa nguvu miilini mwetu.
 
Ukipagawa tuu...umejimaliza...switch ya kuupeleka mnala full ni hisia zako sahihi kwa wakati ule wa nje ndani.!!... hofu ya nini wakati mtu wako anajua aina ya show zako....labda angalikuwa mpya tungesema sex fever....kwa kupania.....
 
Ukipagawa tuu...umejimaliza...switch ya kuupeleka mnala full ni hisia zako sahihi kwa wakati ule wa nje ndani.!!... hofu ya nini wakati mtu wako anajua aina ya show zako....labda angalikuwa mpya tungesema sex fever....kwa kupania.....
Kweli mkuu juma ulichonena
 
Kugongana na mtu usiyrmuuoa ndo kuzini.
##tendo la ndoa ni tofauti na zinaa##
What if nikakwambia kugongana ni nature at its course? What if nikakwambia dini zenu ndo zinazems kugongana na mtu usiyemuoa ni zinaa? Na what if nikakwambia kwamba sina dini wala imani ziambatanazo na dini husika? What if nikakwambia mimi ni atheist? Je bado utakuwa sahihi kimtazamo?
 
Hii ni kwa niaba ya chama cha wanawake, kwa sababu dyudyu zote ni mali yetu....
Yani dushe zimekua kama zina kideli kila siku zina matatizo mara hazina nguvu, mara sijui zina nini ona sahivi zina goma kuendelea na safari, utamu wa maisha unapungua kwakweli
Dyudyu moja tuu ndio mali yako nyingine ni mali ya wennngine
 
Pengine hizo kurupushani zimepelekea kutoa mawazo yako hapo nakuyapeleka kwengine ndiomaana
 
Mimi sioni kama kuna shida hapo maybe ubongo wako umeshindwa kuhimili basi
 
Kwenye tendo pengine anakuletea sinema usizoelewa sasa webadala yakufokas kwenye tendo weukawaza mengine ndiomaana just guessing
 
Back
Top Bottom