Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,484
- 167,322
Zimefanya nn ati!Maskini dyudyu zetu....
Zimefanya nn ati!Maskini dyudyu zetu....
Hahahahaaaa umepinda weweMaskini dyudyu zetu....
Zinatusikitisha watumiajiZimefanya nn ati!
Anakwambia anapiga mara nne....... itaachaje kugoma.....Zimeelemewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani yako ina tatizo!Zinatusikitisha watumiaji
Hii ni kwa niaba ya chama cha wanawake, kwa sababu dyudyu zote ni mali yetu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani yako ina tatizo!
Aaah hapo kuna cha ziada bwana, mbona jogoo anapigaga zaidi ya mara nne jamani.....ifikie mahali dyudyu zipate chanjo tunakoelekea ni pabaya!!!Anakwambia anapiga mara nne....... itaachaje kugoma.....
Sio zote, zingine ziko bomba sana mkuuHii ni kwa niaba ya chama cha wanawake, kwa sababu dyudyu zote ni mali yetu....
Yani dushe zimekua kama zina kideli kila siku zina matatizo mara hazina nguvu, mara sijui zina nini ona sahivi zina goma kuendelea na safari, utamu wa maisha unapungua kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shenzzzz dada chumvi[emoji13]Aaah hapo kuna cha ziada bwana, mbona jogoo anapigaga zaidi ya mara nne jamani.....ifikie mahali dyudyu zipate chanjo tunakoelekea ni pabaya!!!
Make hiyo ndo burudani nambari wani tuungane kuzipigania
Ni chache, likifanyika zoezi la kupitia dyudyu hewa, wanawake tutalia sana siku hiyoSio zote, zingine ziko bomba sana mkuu
Ulivyozililia kama kweli vilee...AhahahahahaaaaMaskini dyudyu zetu....
Nipo serious, nalia kwa uchunguUlivyozililia kama kweli vilee...Ahahahahahaaaa
Tupia mfano wa mtu mmoja mwenye dyudyu hewa hapa JF mkuu so as to make my day lol!!Ni chache, likifanyika zoezi la kupitia dyudyu hewa, wanawake tutalia sana siku hiyo
BehaviouristTupia mfano wa mtu mwenye dyudyu hewa hapa JF mkuu!!
[emoji24] [emoji15] [emoji24] [emoji15] [emoji24] [emoji15]
...kwani wewe Miss Natafuta umeacha kutafutaa..?zinaa nje nje
acha zinaa kijana