Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

Relax sex sio mashindano unataka raundi 4 za nini wakati mbili ni shida? Tulia mwambie gfriend wako mfanye upya romance na mambo mengine ya kuandaana.Usipanie gemu kamwe utaadhirika mkuu.
 
Relax sex sio mashindano unataka raundi 4 za nini wakati mbili ni shida? Tulia mwambie gfriend wako mfanye upya romance na mambo mengine ya kuandaana.Usipanie gemu kamwe utaadhirika mkuu.
Kwangu mi nne ni kawaida mkuu. Nilikuwa sishindani. Tatizo ni kukata moto ghafla.
 
Nashukuru kwa mchango boss. Kunifariji kwa kusema kawaida ila nilijaribu hvyo nikaona mambo hayaendi still.
Yataendaje wakati ume panic. Ukipanic tu blood pressure ina panda maana yake flow ya damu inaelekea zaidi kwenye central circulation nakupungua kwenye peripheral areas. So penile blood flow inapungua hivyo kuifanya kushindwa ku-erect, simple physiology. So kwanza ufahamu kuwa yaweza kutokea bila ya kuwa na sababu zote ulizo orodhesha mara nyingi ni stress maybe mental or physical. So unatakiwa kurelax tofauti na hapo bao nne zile zitakuwa historia.
 
Hiyo hali huwa inatokea hasa ukiwa na mawazo, utakuwa ulihamisha mawazo dam nayo ikakimbilia huko upambana na udharura huo,chamsingi mtafute dem ambaye ulishawahi kumkamua mpaka mwenye akasema ndio,ukutane naye ufanyanye nae mapenzi,hii inakujengea confd kwasababu anajua shug ikitokea umefel atajua tu leo hauko sawa..pia wakati wahilo hiyo mech cm zote zizimwe,usiwe umeshiba sana,, pata juice ya tende maziwa,korosho,chocolate.
 
Back
Top Bottom