Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Nimesoma heading ya uzi nikamkumbuka mke wangu kibonge nkajikuta nna tabasam la haja!
Hapo nkatambua utafiti upo sahihi kabisaaa
 
Hakuna lolote, utafiti feki huo. Mbona mimi mke wangu mnene na hizo sifa unazozisema sizioni? Kwanza wanene wana gubu halafu ni wavivu kwenye 6x6. Kamoja tu anahema kama kitimoto mjamzito....
Hujamjulia mkuu, ukimjulia ukamkaanga sawasawa gubu lote linaisha,
Wanawake wanene wanakua na nyege sana usipoweza kumt**ba vizuri anakua na hasira hasira sanaa.
 
Kwahili shemeji yangu nalendwa nakuunga mkono kabisa maana toka niwe na mbitiyaza kwa sasa nina furaha isiyo isha yaan kila wakati nina furaha furaha tu

Wacha bwana!, kama hapa wanavyosema huwa mnachekacheka tu kila wakati sio?!

Haya bwana, nafurahi sana kwa ajili yako ngoja na mimi nijitahidi kula niwe kama ndugu yangu MBITIYAZA
 
Ahahahahaha dah nimeguswa mana nina raha hata account ikipungua wala sina shaka
 
Hakuna lolote, utafiti feki huo. Mbona mimi mke wangu mnene na hizo sifa unazozisema sizioni? Kwanza wanene wana gubu halafu ni wavivu kwenye 6x6. Kamoja tu anahema kama kitimoto mjamzito....
Hakuna kiumbe mvivu jeshini, labda akutane na afande mvivu, talk n do it! Lazima wewe una gubu, mume gani wa kujianikia uvivu wa mkeo 6*6 hauko mzima ww..
 
Hakuna kiumbe mvivu jeshini, labda akutane na afande mvivu, talk n do it! Lazima wewe una gubu, mume gani wa kujianikia uvivu wa mkeo 6*6 hauko mzima ww..
Tunaongelea facts za kisayansi. Au we hukwenda shule? Unataka tuongelee wanene hewani hewani wakati mifano halisi ipo? Na huyo unayesema nimemuanika unamjua jina lake?
 
Haswaaa tena soko lamaana !!
Nyinyi mnakuaga na Fat nying mwilin ,mafuta yanawapa nyege ,ndo maana muda wote mnatabasamu ,kuchekacheka ,mnapenda Sex ,Nyege zinawashika Mara kwa Mara !! Sasa hayo yotee yakusanyeeee ujue ni FAIDA KWA MWANAMME !!.
Ahahaa mbona me sinaga nyege?
 
Back
Top Bottom