Jamani kiwembe kinakata ila hakitumiwi buchani....
Zurie;
Kila kitu chamhitaji fundi mwenye ujuzi nacho. Ka ndo chenyewe ulicho nacho, utakitumia kuliko kuweka guu zima chunguni.
Jamani kiwembe kinakata ila hakitumiwi buchani....
Hahahahhahaahha....wengine ana kipara na kiba*ia, Lugha gongana!!!
Tafiti haziish mdau,watu wanafanya tafiti kila kukicha na ndo kazi zao,Ila hii Thread nimechakaaa saana,,,Hapa Kuna siku MTU atasema Vilema wa mguu mmoja ni Danger in Bed
Bado niko laboratory natafuta cure...hahahaahHa ha ha haaa,unamsaidiaje mtu kama huyo mwenye vipara viwili?
Daah....sawaaaaZurie;
Kila kitu chamhitaji fundi mwenye ujuzi nacho. Ka ndo chenyewe ulicho nacho, utakitumia kuliko kuweka guu zima chunguni.
Wallaaaaahiiiiiii(nimelamba na mchanga)Acha bhana hakuna hiyo
Teh teh....kisu ndo muafaka wa vyoteNa panga linakata ila halichokolei dafu...
Ha ha ha haaa,tafiti zimekua nyingi sana,kipara na ufundi wa kitandani wapi na wapi?Bado niko laboratory natafuta cure...hahahaah
Waulizeni wenye waume wenye vipara mpewe ushuhuda, mbona mtawasaka wenye vipara!Wallaaaaahiiiiiii(nimelamba na mchanga)
Na hicho kisu kiwe cha kiasi.Teh teh....kisu ndo muafaka wa vyote
Kwa lugha rahisi, 'wanaume wenye upara wana nyege kali kuliko wale wasio na upara'...Kunaongeza kuwa na hamu ya mapenzi na sio uwezo, uwezo na hamu ni vitu viwili tofauti, uwezo katika mapenzi ni kuhusu experience uliyonayo katika mapenzi, kuwa na upara alafu huna experience uone utakavyo lukaluka km rasta kwenye mwili usio na afya
Daah Nifah kumbe unazimikia makoti? ngoja na mimi nikanunue kwenye mitumba bhana.Nimeipenda avatar yako jirani....
What a gentleman?
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mkuu, unanafasi ya kunyoa. UsimindHaya kaka, hili liwe somo kwa wadada waangalie upara zaidi kama wanataka michezeo zaidi. Mbona nawafaham watu flan wenye upaa ka kiwanja cha ndege lakini hata watoto wa kudhaniwa hawakupata ilihali walioa?
Masomo mengine bure tu. Hao wamekosa masomo. Mara sijui ukubwa wa pua ndo unene wa pen.. bure tuu hamna lolote. Ukifika kumbe vibamia mdada mpaka akufungie na kanga tena asikohoe. Masomo yenu bure kabisaaa
Kwani we huna kipara beshte??Waulizeni wenye waume wenye vipara mpewe ushuhuda, mbona mtawasaka wenye vipara!
Nani anapanga hili la msingi hili sio la msingi?....UsituchosheAkili zenu wa Africa yaani mnawaza ngono tuu wakati mambo yamcngi yamaisha yenu hayako sawa
Ushaambiwa kipara ni wingi wa homoni....yani ni kama mashineeeeHa ha ha haaa,tafiti zimekua nyingi sana,kipara na ufundi wa kitandani wapi na wapi?
Ndo kinaanza mdogomdogo lakini uzoefu na ladha ya kule mtu kama wew ndio anatakiwa kutoa ushuhudaKwani we huna kipara beshte??
Muulize yeye ni mzungu au mchina!Nani anapanga hili la msingi hili sio la msingi?....Usituchoshe
Ni kweli usemalo hata wazazi wako nao hawajapona katika hilo, wew ni ushuhuda na matokeo hayo..walingonokaAkili zenu wa Africa yaani mnawaza ngono tuu wakati mambo yamcngi yamaisha yenu hayako sawa