Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

mimi balaa maana si kichwan ninakipara hukuhuku ikulu hapo sijui reseach inasemaje;!
 
Mpo hapo!
Ya kumalizia mwaka hii!

A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara!

Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya testosterone hivyo wako more musculine, thus kuzidisha their sex drive.

Kuwa au kutokuwa na upara utegemea idadi ya testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo uchangia uwezo wa mwanaume kitandani.

Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara!

NB.
Testosterone hormones ni homoni zinazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.

Baada ya tafiti kinachofuata ni kuziusianisha na experiance...
Hebu wenye waume, au boys wenye Vipara watupe uzoefu wao....
Naomba asiye nacho asubirie....najua wanao mezea mate huu utafiti wata anza kuponda kwa woga wao tu!

 
Juzi hapa kuna ripoti ilisema wenye vitambi ndio wako vizuri nikatamani kitambi nikaanza kukitafta kwa nguvu zote, ndio kwaanza kinaanza kuja tena hii tafti wenye kipara, sasa kitambi changu ntafanyia nini?

Nianze tena kutafta kipara? What?
Hizi tafiti sasa zinakua kero, hao watafti hawajui wanatuchanganya.

Naweza kutafta kipara kesho ukaja utafti mwingine kua vipofu au viziwi wako vizuri au walemavu wa miguu, sasa sijui ntafanyaje.

Acha tu nibakie na uwezo wangu huu wa goli moja la sekunde 10 kila baada ya wiki.
 
Haya kaka, hili liwe somo kwa wadada waangalie upara zaidi kama wanataka michezeo zaidi. Mbona nawafaham watu flan wenye upaa ka kiwanja cha ndege lakini hata watoto wa kudhaniwa hawakupata ilihali walioa?
Masomo mengine bure tu. Hao wamekosa masomo. Mara sijui ukubwa wa pua ndo unene wa pen.. bure tuu hamna lolote. Ukifika kumbe vibamia mdada mpaka akufungie na kanga tena asikohoe. Masomo yenu bure kabisaaa
Hahahaha kwani mdada akikohoa inakuwaje mkuu mangatara?
 
Bald.jpg
 
Aiseeee!!! sasa inakuwaje jamaaa mwenye upara anamzoea zoea demu wako?
 
Ngoja namim nikanyoe upara alaf nikakutane na mwanamke ntamsasambua hadi akome
 
Back
Top Bottom