Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Mi nliskia wanaume ambao migongo yao ipo flat ni hatareeeeeeee yani ile ambayo haina minyama nyama iliyojaaa. Gongo liwe flat flani hivi
 
Hahahahhahaahha....wengine ana kipara na kiba*ia, Lugha gongana!!!


Zurie;
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi!! Ni kwetu walinifunza hilo. Kibamia kisikusumbue, mpe ruksa aoneshe maujuzi waweza zimia kitandani.
 
Ila hii Thread nimechakaaa saana,,,Hapa Kuna siku MTU atasema Vilema wa mguu mmoja ni Danger in Bed
 
Back
Top Bottom