Natafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
Nipo hapa umemipata
Natafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
Natafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
wacha nikanyoe nirudi!
Mpo hapo!
Ya kumalizia mwaka hii!
A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara!
Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya testosterone hivyo wako more musculine, thus kuzidisha their sex drive.
Kuwa au kutokuwa na upara utegemea idadi ya testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo uchangia uwezo wa mwanaume kitandani.
Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara!
NB.
Testosterone hormones ni homoni zinazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.
Uparaaaa,
Natafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
umenishinda tabia hahahahaha
Natafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
Natafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
Ngoja nikanyoe nywele za kichwani zote.
Utafiti upingwa na utafiti sina kipara lkn kama kunauhusiano ni somo zur
Ni marafiki tu wa kuchat nao
hahahaha GHOST
Tommy nipo hapa!