Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Wanamaanisha upara wa section B siyo huku juu upara unaopigwa na jua na vumbi hadi virutubisho vinatoka vyote...
 
Mpo hapo!
Ya kumalizia mwaka hii!

A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara!

Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya testosterone hivyo wako more musculine, thus kuzidisha their sex drive.

Kuwa au kutokuwa na upara utegemea idadi ya testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo uchangia uwezo wa mwanaume kitandani.

Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara!

NB.
Testosterone hormones ni homoni zinazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.

hiv robart mugabe mbona anaongoza zimbabwe
 
Kwaiyo hizi homoni hata zikikutana na chips haziwezi kuwa diluted nataka kujua tu?
 
Mpo hapo!
Ya kumalizia mwaka hii!

A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara!

Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya testosterone hivyo wako more musculine, thus kuzidisha their sex drive.

Kuwa au kutokuwa na upara utegemea idadi ya testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo uchangia uwezo wa mwanaume kitandani.

Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara!

NB.
Testosterone hormones ni homoni zinazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.

ingekuwa hivyo basi akina BABU wasiokuwa na nywele kichwani wangekuwa bora sana kitandani lakini badala yake kinyume chake ndio ukweli. mababu wengi wenye vipara sharti watikise kwanza ndio mashine zao zishike kasi. unaona eeh?
 
Hahahaa wachukianao ndio.... sema sasa its hard to Me to match my words with my gent avatar. :sly:
Duuuh,hebu wekeni avatar zinazowafanania basi jamani?
Though siku hizi naona umeanza kuwa na chembechembe za ugentleman kwa mbaaaali....
 
ingekuwa hivyo basi akina BABU wasiokuwa na nywele kichwani wangekuwa bora sana kitandani lakini badala yake kinyume chake ndio ukweli. mababu wengi wenye vipara sharti watikise kwanza ndio mashine zao zishike kasi. unaona eeh?

Don't be ridiculous, kwani bibi na babu yako wakigegedana unakuwa karibu?
Nwei, SEX DRIVE yao iko juu, ENERGY ya kugegeda ndio tatizo.
 
Duuuh,hebu wekeni avatar zinazowafanania basi jamani?
Though siku hizi naona umeanza kuwa na chembechembe za ugentleman kwa mbaaaali....

Haha et kwa mbaal,😀 . nitajitahdi 2016 iwe more than" sitachangaa kupata 'pm' yko jirani ukisema "nakupenda"😉
 
Mpo hapo!
Ya kumalizia mwaka hii!

A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara!

Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya testosterone hivyo wako more musculine, thus kuzidisha their sex drive.

Kuwa au kutokuwa na upara utegemea idadi ya testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo uchangia uwezo wa mwanaume kitandani.

Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara!

NB.
Testosterone hormones ni homoni zinazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.

Ni ukweli mtupu. Japo haimaanishi kuwa ni 100%.
 
Haya kaka, hili liwe somo kwa wadada waangalie upara zaidi kama wanataka michezeo zaidi. Mbona nawafaham watu flan wenye upaa ka kiwanja cha ndege lakini hata watoto wa kudhaniwa hawakupata ilihali walioa?
Masomo mengine bure tu. Hao wamekosa masomo. Mara sijui ukubwa wa pua ndo unene wa pen.. bure tuu hamna lolote. Ukifika kumbe vibamia mdada mpaka akufungie na kanga tena asikohoe. Masomo yenu bure kabisaaa

...akikohoa inakuweje...mchomoko?
 
Back
Top Bottom