Wanaume wenye Mahawara Please Muwe Makini sana

Nimesikia stori zinazofanana na hizi kama mara tatu hivi na nimeshuhudia mmoja kabisa akienda kwa mganga kwa lengo la kumfanyizia jamaa aliye nae aisje akamuacha. Haya mambo yapo, ila ulipokosea mkuu ni hapo kumsaidia huyo dada kuikamilisha nia yake ovu.

Nimeona pia baadhi ya wanawake wanasapoti...hebu chukulia kwamba anaefanyia hivo ni mumeo/mpenzio/babio/kakayo/mjombayo n.k....je ungesapoti huu upuuzi.

Ifikie point tuwe wa kweli na mioyo yetu tunaposhauri. Usilopenda kufanyiwa, usipende wafanyiwe wenzio

My Take:
1: Mke na mume wote wanawajibu wa kuilinda ndoa yao
2: Kukiwa na tatizo kwenye ndoa, dawa si kuchepuka ila kulitatua tatizo
3: Inapofikia hatua ya kuhonga, jaribu kufikiria mahitaji yako, mkeo au watoto wako..je umeyakamilisha na je likitokea la ghafla itakuwaje? hii itakusaidie kuacha kuhonga.
4: n.k
 
Sibora amesikia na kujionea mwenyewe na amewapa info nyie wanaume wenzie coz sisi tukiwaambiaga wanaume hawaamini wala kusikia....Ndio hayooo msifikiri uongooo

Ni mafala wachache sana wanapatikana kwa jinsi hiyo! Halafu alikuona una mambo ya kike kike ndo maana akakupa full story kuhusu bwana wake.
 
Tehe tehe jenerali,inaelekea mpole,ngoja na mie nije kukulilia,.......kuanzia sasa uisadie na nyumba kubwa am sure hata hela ya chai hawaachiwi na huyo baba
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni wewe ambaye umekuwa dalali wa ufisadi wa kimapenzi tena nyumbani kwako. yaani we ni shida.
 
Unadhani hao wanawake wanaopongeza wanapongeza ki ukweli...wanasanifu (sarcasm)

Ila uchawi upo ndio maana mabango kila kona yanasema kumvuta mpenzi alokuacha etc..
Kikubwa wanandoa kumtegemea Mungu na kusalia familia kila siku ili mume/mke asikutane na mashetani watu huko mtaani...

Maana wanakwambia huwezi kurogwa ukiwa barabarani, lazima utakuwa umempitia huyo alokuroga sasa unataka kuchomoa ndio kakushika kwa kutumia uchawi huchomoki....

Uwa nikifikiria nasema tu God forbid...maana inataka moyo kutetea ndoa ya mume alokamatwa na kimada...
Else kama una jiweza kiuchumi unaweza kumwaga manyanga kirahisi sana...

Ndio maana unakuta wanaovumilia na kumlilia sana Mungu ni ma house wife sababu hawana jinsi...

Nimesikia stori zinazofanana na hizi kama mara tatu hivi na nimeshuhudia mmoja kabisa akienda kwa mganga kwa lengo la kumfanyizia jamaa aliye nae aisje akamuacha. Haya mambo yapo, ila ulipokosea mkuu ni hapo kumsaidia huyo dada kuikamilisha nia yake ovu.

Nimeona pia baadhi ya wanawake wanasapoti...hebu chukulia kwamba anaefanyia hivo ni mumeo/mpenzio/babio/kakayo/mjombayo n.k....je ungesapoti huu upuuzi.

Ifikie point tuwe wa kweli na mioyo yetu tunaposhauri. Usilopenda kufanyiwa, usipende wafanyiwe wenzio

My Take:
1: Mke na mume wote wanawajibu wa kuilinda ndoa yao
2: Kukiwa na tatizo kwenye ndoa, dawa si kuchepuka ila kulitatua tatizo
3: Inapofikia hatua ya kuhonga, jaribu kufikiria mahitaji yako, mkeo au watoto wako..je umeyakamilisha na je likitokea la ghafla itakuwaje? hii itakusaidie kuacha kuhonga.
4: n.k
 
Malipo kwa ajili ya hiyo 30,000 Tsh yako mlikubaliana ni nini?
 
Hata nyama zilizolazwa katika nyuchi tunalishwa na maji yaliyosafisha nyuchi tunapikiwa nayo!!! Niliapa sitakaa niwe na hawara maisha yangu na ninamshukuru Mungu kwa umri niliyo nao kwa sasa sidhani kama itawezekana. Ndoa si peremende ila inabidi wote mke na mume mvumiliane na kusameheana. Msiweke vinyongo na visasi matokeo yake vikizidi ndiyo kutafuta nje kupoozea. Na ukijiwekea msimamo ni lazima utashinda tu. Ukishakubali kuwa na hawara jua utashi wako na maamuzi yako anavililiki hawara. Na mbaya zaidi hata mabinti wadogo siku hizi ni kwa waganga tu kuwapata wanaume wenye hela.
 
Najua kuwa wanasanifu na ndio maana nikawaambia kuwa tuwe wakweli wa mioyo yetu, usilopendwa likufike wewe basi usipende na wengine liwafike.

Kingine ni kwamba nakubaliana nawe kwamba yataka moyo sana kutetea ndoa ya mume/mke aliyekutwa na kimada ila naamini kama kila mtu (mume na mke) wakitimiza wajibu wao katika ndoa yao na kuhakikisha ya kwamba kila mmoja anakuwa balozi wa amani na furaha ya mwenzake, basi vitu kama hivi havitakuwepo. Watu wamejisahau sana na ndoa zao,ndipo wengine wanapotumia hizo loop kukamilisha yao

Unadhani hao wanawake wanaopongeza wanapongeza ki ukweli...wanasanifu (sarcasm)

Ila uchawi upo ndio maana mabango kila kona yanasema kumvuta mpenzi alokuacha etc..
Kikubwa wanandoa kumtegemea Mungu na kusalia familia kila siku ili mume/mke asikutane na mashetani watu huko mtaani...

Maana wanakwambia huwezi kurogwa ukiwa barabarani, lazima utakuwa umempitia huyo alokuroga sasa unataka kuchomoa ndio kakushika kwa kutumia uchawi huchomoki....

Uwa nikifikiria nasema tu God forbid...maana inataka moyo kutetea ndoa ya mume alokamatwa na kimada...
Else kama una jiweza kiuchumi unaweza kumwaga manyanga kirahisi sana...

Ndio maana unakuta wanaovumilia na kumlilia sana Mungu ni ma house wife sababu hawana jinsi...
 
Hata nyama zilizolazwa katika nyuchi tunalishwa na maji yaliyosafisha nyuchi tunapikiwa nayo!!! Niliapa sitakaa niwe na hawara maisha yangu na ninamshukuru Mungu kwa umri niliyo nao kwa sasa sidhani kama itawezekana. Ndoa si peremende ila inabidi wote mke na mume mvumiliane na kusameheana. Msiweke vinyongo na visasi matokeo yake vikizidi ndiyo kutafuta nje kupoozea. Na ukijiwekea msimamo ni lazima utashinda tu. Ukishakubali kuwa na hawara jua utashi wako na maamuzi yako anavililiki hawara. Na mbaya zaidi hata mabinti wadogo siku hizi ni kwa waganga tu kuwapata wanaume wenye hela.

Dah hapo kwa red ogopa muraaaa
 
Mkuu punguza hasira, kama kutoa hela nimefanya kosa basi mungu anisamehe, ila sikuwa na namna maana nilimshauri sana but hakutaka kuelewa. Lakini hata ningemnyima nafsi ingeniuma sana maana huwa siwezi kumkatalia kumsaidia mtu kama naweza kufanya hivo.

Mkuu noted!
 
Najua kuwa wanasanifu na ndio maana nikawaambia kuwa tuwe wakweli wa mioyo yetu, usilopendwa likufike wewe basi usipende na wengine liwafike.

Kingine ni kwamba nakubaliana nawe kwamba yataka moyo sana kutetea ndoa ya mume/mke aliyekutwa na kimada ila naamini kama kila mtu (mume na mke) wakitimiza wajibu wao katika ndoa yao na kuhakikisha ya kwamba kila mmoja anakuwa balozi wa amani na furaha ya mwenzake, basi vitu kama hivi havitakuwepo. Watu wamejisahau sana na ndoa zao,ndipo wengine wanapotumia hizo loop kukamilisha yao

Mkuu mkeo akijisahau,mrudishe kwenye mstari sio kwenda kutafuta alternative,,,,,,,huko ndio gusa unase!...sidhani kama mwanaume mwenye akili zake i mean rensponsible ata risk kuisambaratisha familia yake na kuambukizwa ukimwi kisa starehe za kijinga.........
 
Unadhani hao wanawake wanaopongeza wanapongeza ki ukweli...wanasanifu (sarcasm)

Ila uchawi upo ndio maana mabango kila kona yanasema kumvuta mpenzi alokuacha etc..
Kikubwa wanandoa kumtegemea Mungu na kusalia familia kila siku ili mume/mke asikutane na mashetani watu huko mtaani...

Maana wanakwambia huwezi kurogwa ukiwa barabarani, lazima utakuwa umempitia huyo alokuroga sasa unataka kuchomoa ndio kakushika kwa kutumia uchawi huchomoki....

Uwa nikifikiria nasema tu God forbid...maana inataka moyo kutetea ndoa ya mume alokamatwa na kimada...
Else kama una jiweza kiuchumi unaweza kumwaga manyanga kirahisi sana...

Ndio maana unakuta wanaovumilia na kumlilia sana Mungu ni ma house wife sababu hawana jinsi...

ngoja tu nikip kwayati nisome makoments ya griti thinkaz km ninyi maana nikianza kusimulia hapa ntalia
 
Ndo mana wajanja wanalipia huduma na kutambaa na si kuweka vibanda ndo hvy mkomeee
 
Back
Top Bottom