Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Wamezidi payo!
Ha ha ha walogwe tu wawe mazombi
Wamezidi payo!
Mmezoeana? Ngojea!....
ndiyo wakati mwingine huwa namwagiza sokoni, nk.
Ha ha ha walogwe tu wawe mazombi
Hivi Mkuu huyu binti kwa namna mnavyoheshimiana akigundua wewe ni mbea hatajisikia vibaya? Akijua 30,000 ulompa na maazimio ya aliyonuiza kuifanyia umeyaanika huku atajisikiaje?
Jumamosi ya juzi nikiwa ndani mwangu nafuatilia Bunge, nilisikia hodi ikabidi nikajue ni nani, alikuwa ni Jirani yangu (Binti) ana miaka kama 24-26 hivi, toka nimehamia hapa sijui ana shughuli gani inayomwingizia kipato au inayomfanya aishi hapa mjini, Baada ya kumkaribisha ndani akaanza hivi.
.....(Jina Langu) samahani, nikamjibu...bila samahani...(Jina lake), nina shida ya sh.30,000/= naomba unisaidie,(kwa kuwa nimezoena nae sana akaanza kunisimulia)
Kuna hawara yake ni doctor hapa Bug...juzi yake alimwambia kuwa "hamtaki tena kuanzia Juzi hiyo" huyo hawara yake ana mke na watoto 3.
Ni yeye (hawara) ndiye anayemlipia kodi ya nyumba, anamsomesha chuo cha Hotel management na ndiye anayemtunza kwa maana ya chakula.
Sasa kodi inaisha mwezi wa kwanza mwakani na ada ya chuo anadaiwa na imebaki sh. 700,000/= na pesa ya kwendea field Zanzibar hana.
Akaniambia kuwa, ...Nimepata mtaalamu (mganga) ameniambia nimpe sh. 30,000/= ili anipe dawa nimvute, (Amchomee) ili kurudisha mawasiliano halafu nyingine atamwekea kwenye chakula au kinywaji ili "akiomba kiasi chochote kile cha pesa apewe"
Sikuwa na iyana ila nimuuliza swali moja, kwa nini usitumie njia ya mazungumzo? akasema nishajaribu sana but hataki! "sasa mimi nitaishije hapa wakati ada nadaiwa, kodi ya nyumba inaisha mwakani"?
Nilimpa sh. 30,000/= akaenda.
Jumapili (jana) huyo hawara yake alisalimu amri yy mwenyewe kwa yeye kuanza kumpigia simu (kwa mujibu wa huyu binti) jamaa alimuuliza "upo wapi"? demu akajibu nipo nyumbani, Njoo .....bar...sasa kilichojiri huko jana sikijui nadhani leo ataniambia tu..
Kwa hiyo, wanaume tuwe makini sana na mahawara kwani yawezekana unaye na unatamani ujinasue kwake ila moyo wako unakufa ghafla na kuamua kuendelea naye hadi sasa. Pls, tuwe makini sana.
Mkuu elewa kwanza, sijui una akili vizuri? soma taratibu, huyu dada ni jirani yangu hapa nilipopanga na tumezoeana sana.
Kwanini uzoeane na mwanamke una element za kuwadi watu kama nyinyi ndio wakwanza kuvunja ndoa za watu mbumba vu zako
Kwanini uzoeane na mwanamke una element za kuwadi watu kama nyinyi ndio wakwanza kuvunja ndoa za watu mbumba vu zako
Nami mtu akikopa hela ili akaloge ntampa tu tena siidai ha ha ha
Akirudi siku nyingine kuomba hela hata kama nicheki tuchange tumpe
Na mimi nasema warogwe tu maana hatuna njia nyingine sasa....
Teh teh teh
Hahahaha loh
Aisee!!!
Wacha walogwe... Sijui kwanini hawatulii na wake zao khaaaaa$!!!
Mlogwe tu hamsikii...
Jamen si kaja kutoa tahadhari kwa wanaume na kutupa mbinu wanawake ubaya uko wapi hapo?Hivi Mkuu huyu binti kwa namna mnavyoheshimiana akigundua wewe ni mbea hatajisikia vibaya? Akijua 30,000 ulompa na maazimio ya aliyonuiza kuifanyia umeyaanika huku atajisikiaje?