Niliiona hiyo, nikawa najiuliza hiyo ada ni kiasi gani maana anasema hiyo 700,000 ndio iliobaki abadaiwa kwa maaana kuna malipo ya ada yalishatangulia. Ukiwa muongo ujue kuutengeza
Na warogwe tu
Yaani na wewe ukatoa kabisa elfu 30,000.
tutakupigia kura utolewe kundini
Mkuu, kuwa mwelewa basi, ada iliyobaki hadi amalize chuo ni hyo 700,000/= sasa ulitaka niandike kila neno hapa? anyway, alishapewa ada kipindi cha nyuma ila alichukua kiasi akatumia kwa matumizi yake, iliyobaki ndo akalipa ada, kwa hiyo kaunganisha na deni la nyuma.
Ukichepuka unalogwa, ukirudi home nako unakuta dozi nyingine ya ulozi. The net effect inakua ziro, yaani zinaji-cancel zenyewe unabaki salama. Mbaya usipochepuka maana utabaki umelogwa na mkeo tu. Unakua zoba

Wacha walogwe... Sijui kwanini hawatulii na wake zao khaaaaa$!!!
Ndo maana wanasema, michepuko sio dili, baki njia kuu. Ukijijua una familia, tulia tunza familia yako, mambo ya kuchepuka chepuka matokeo yake ndio hayo. Acha yamkute. Kumpiga chini dada wa watu ghafla naye ndiye alibeba uwezeshaji, anategemea aishije mjini?