Hayuu
Senior Member
- Jun 1, 2014
- 140
- 35
Ndo maana wanasema, michepuko sio dili, baki njia kuu. Ukijijua una familia, tulia tunza familia yako, mambo ya kuchepuka chepuka matokeo yake ndio hayo. Acha yamkute. Kumpiga chini dada wa watu ghafla naye ndiye alibeba uwezeshaji, anategemea aishije mjini?
Hapo umenene nakupa big up mini hapa kakubali kuwa mfadhili then anakata mirija ya escrow unadhani mwenzie atafurahia? Wapiiiii wacha wakomeshwe bwanaaaaaa