StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 3,679
- 3,719
Kama ulimfundisha wewe kucheat ndio litakuwa zoezi gumu kama unavyosema maana nafsi itakuwa inakusuta.Hii situation ni hatari sana kwa ambao hawajai kuishi hivi hawawezi elewa umekaa na mtoto wa mtu 8 years umemdhalisha then anakuletea mauza uza ukitaka kumuacha lzm ujipange kisaikolojia la sivyo ni zoezi gumu sana sana..