Anachokitaka YeyeSawa olewa ila usikae na bwana wako kwenye nyumba yangu. Akakujengee pengine huko ila usianze maisha na mtu mwengine kwenye boma la watoto wangu.
Haya ni ya kwako kisheria.Kisheria nyumba ni ya mwanamke kama mali zinawatoa roho acheni kuoa
Yani nijenge mimi alafu kisheria iwe ya mwanamke.Kisheria nyumba ni ya mwanamke kama mali zinawatoa roho acheni kuoa
We unazungumzia wivu, hivi ingekuwa tumeoana na wewe una pesa zaidi na nyumba kadhaa tukaamua kuishi kwenye mojawapo after sometime tumeshindwana tukaamua kusplit ukaenda kuishi kwenye nyumba yako ingine utakubali uniachie nyumba na watoto kisha usikie naoa mke mwengine nikae nae kwenye hio nyumba utanikalia kimya?Ni wivu ama hamuwezi kuachika mnataka kucontrol mtu hata kama mmeachana vipi nyie
Tatizo lenu siku hizi hamna aibuNi wivu ama hamuwezi kuachika mnataka kucontrol mtu hata kama mmeachana vipi nyie
Babuuu hawa wasasa wanachojua ni kislay tu , Aibu hawana, Heshima hawana.We unazungumzia wivu, hivi ingekuwa tumeoana na wewe una pesa zaidi na nyumba kadhaa tukaamua kuishi kwenye mojawapo after sometime tumeshindwana tukaamua kusplit utakubali uniachie nyumba na watoto kisha usikie naoa mke mwengine nikae nae kwenye hio nyumba utanikalia kimya?
We unajadili manin kwani kaolewa na hata kiolewa ni haki yake mtu akiomba talaka Ndio kakosa adabu achen mfumo dume mkiachwa achikenTatizo lenu siku hizi hamna aibu
Zaman mwanamke hata aachike, ataendelea kumuheshim Mume wake.
Tumeachana, nimekubali ubaki nanyumba Kwa ajili ya watoto.
Wewe kuolewa hakunihusu, olewa na upigwe paipuuuuuu.
Swali, kwann humohumo Ndani ya Nyumba yangu, ndo utake kuolewamo??? Kwann Ako kankokupelekea moto, kasikujengeez au usihanie kwake, kakupelekee moto .
Subirini tu, Kama Kenya wameweza, Sembuse Tanzania, Sheria yaja, mbona mtakua wadogo kama Atom 😂😂😂
Hatujakataa kuachana kaanze upya na mume mpya. Sio muanzie tulipoishia mi nawewe. Akujengee nyumba mpya na akugongee kwake.We unajadili manin kwani kaolewa na hata kiolewa ni haki yake mtu akiomba talaka Ndio kakosa adabu achen mfumo dume mkiachwa achiken
KabisaNi wanaume wetu wana roho mbaya za kijinga na wachoyo na ubinafsi umewajaa
Huwa hawashimu hata wanawake walowazalia watoto wanaona kawaida kungekuwa na sheria kali wangejua hawajui
Huwa mnapendaga kuwa advantaged sana kwenye mali.Kisheria nyumba ni ya mwanamke kama mali zinawatoa roho acheni kuoa
Wewe mwanamke na akili zako unakubalije kuolewa kama mke wa pili? Je tatizo linaweza kuwa ni kwa wanawake kuwa na tamaa na kuangalia mali badala ya utu wa wanaume wanaotaka kuwaoa?Si wengine tunawaona pia Ndio nikasema wengi wao wapo pia wachache wazuri ila wachache mno
Nawe mwanaume kwanin uoe wake wengi na una karoho kadogooWewe mwanamke na akili zako unakubalije kuolewa kama mke wa pili? Je tatizo linaweza kuwa ni kwa wanawake kuwa na tamaa na kuangalia mali badala ya utu wa wanaume wanaotaka kuwaoa?
Wewe ma x wako huwa unawatakia mema? Mbona huko mitandaoni tunaona comments za chuki sana kwa ma x kutoka kwenu?Wanaume asilimia kubwa ikitokea mkaachana furaha yao wakuvuruge ukose pa kushika yaan ukose ramani zote afu kila siku wasikie una shida ndo furaha yao hata km wameachana mwanamke akiwa na mapacha watatu ananyonyesha. Wana roho mbaya sana hawataki ex zao wapate amani