Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,123
- 93,236
Yaan tuonae, ujisikie kuomba Talakaz nikupe Talaka, alafu hapohapo utie simanzi na huruma, Nikupe Nyumba.We unajadili manin kwani kaolewa na hata kiolewa ni haki yake mtu akiomba talaka Ndio kakosa adabu achen mfumo dume mkiachwa achiken
Sawa niamue kukupa kwaajili ya wanangu, usivyo na aibu uolewe humohumo yaan Wanangu waishi wanaona Kidume kingine, kinazungukazunguka na taulo kwangu?.
Wewe Bidada, nadhan wee bado Mdogo wa kuslay , bado uko na na mawazo ya kingonongono , ila ukifika umri wa kimama mama umri wakuwaza kusomesha wanao , Hata Anayekushauru atakuambia "Dejane Mwanangu, Mimi ni Mama yako, nakushauri sanaaa, Usije kuolewa Ndani ya Nyumba ulopewa kwaajili ya wanao".
Olewa sana , tiwa sanaaa tu maana maku ni yakoooo ,hupangiwi, ila ni MARUFUKU NDANI YA NYUMBA ULOIPATA KWA MAKUBALIANO NI YA WATOTO.
MARUFUKU MARUFUKU