Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.
Sio wote wengine hua tukitoa tumetoa na tunasahau kabisa km tulitoa..
 
Mwanamke zaman aliolewa lkn alikua, nmeolewa kuendeleza kizazi yaan kuzaaa , na kupataahitaji yake kama Mwanadam.

Siku hizi mnaolewa kuniegesha lkn moyon unakumbatia na kichwan unawawaza mabwana zako 10 ambao walikua wanakupelekea motooooo haswaaahaswaaa

Umepata mtu wakukuoaz kisa ANAKUTIA dakika kadhaaz ila anauwezo wa kuzalisha...unaona sio kitu

Kwann usimuheshim tuuu Kwa sababu ya Uwezo wake wa kuzalisha??? Je angekua hazalishi??.

Mnaingia ndoanz mnawaza kupelekewa motooo tuuuu ,K hata ipelekewe moto vipi, hairidhiki, hiyo mmepewa kwaajili ya kuzaliaa tu .
Twende mbele turudi nyuma K zinatofautiana bana. Kilichomponza huyu bibie ni K kulendemka. 🤣🤣🤣

Yule B mdogo k mnato af anakata viuno balaa hata wewe ungeendelea kugonga gogo kweli?
 
Huuu Uzi umenipa hasira sana.

Siku hizi mnajua kuslay tuuu mamaeee.

Mali mchume Kwa Mwanaume X, alafu moto mpelekewe Kwa Mwanaume Y.

Mamaeee , ndio maana mnatuua sisi ambao tumejenga nanyinyi nyumba, ili mwende kuishi nankajamaa kisa kupelekewa motooo

YAN KATIKA SABABU ZA KUISHI, WEWE UMEONA KUPELEKEWA MOTO NISABABU MUHIM YA KUISHI??.

MBONA WAZUNGU SAHIZI MPAKA SERIKALI ZINAWAOMBA JAMAAN GONGANENI MZAE.

WATU WANAWAZA MAISHA, HAWAWAZI NGONOOO.
wanawake ambao ni wake wa kibongo.... Wao Ndani ya Ndoa, mwanaume chakwanza , wanamtafasiri kua Ni mpeleka motoooooo

Mamaeee
 
Twende mbele turudi nyuma K zinatofautiana bana. Kilichomponza huyu bibie ni K kulendemka. 🤣🤣🤣

Yule B mdogo k mnato af anakata viuno balaa hata wewe ungeendelea kugonga gogo kweli?
Acheni basi maneno mnamchafua mama wa watu, haipendezi
 
Mwanaume anayejielewa hawezi chukua hata kijiko pindi wakitengana na mkewe.

Shida inakuja pale mwanamke anaanza kumtambia mwanaume baada ya kuachiwa mali. Kwa mwanamke asiye na vitambo unamuachia tu.
 
Mwanaume anayejielewa hawezi chukua hata kijiko pindi wakitengana na mkewe.

Shida inakuja pale mwanamke anaanza kumtambia mwanaume baada ya kuachiwa mali. Kwa mwanamke asiye na vitambo unamuachia tu.
Umesema kweli mkuu, mwanaume ni provider sio go getter
 
Sasa humlali wewe na unamuita mkeo na bado ni kijana yaan ndo unataka aishije? Inamaana kukaa mwaka mzima bila kugusana ni wazi hakuna ukaribu kati yenu, unataka aendelee kukaa kwako km mkeo kisa nini? Nyumba unampokonya je watoto aliozaa wataishije? Ukichukua nyumba unamkomo yeye au unatesa watoto wako
Unaona mlivyo wabinafsi Sasa,. Kama zaman nilikua ngangadi nakupelekea moto.

Leo nmepoteza Uwezo wakupeleka moto...lkn tumezaa.

Kwann usimuheshim tuu kua Mimi ni Mumeo, tumezaaa, na utaendelea kunipenda .

Inamaana yeye kwakua ni kijana, basi kijana ni wakupelekewa moto??

Sasa kama umeamua kusepa, sepa na nguo zako.

Ondoka ,nenda kwenu Kwa baba na Mama yako.

Wanangu waache na nyumba Yao.

Mamaee, yaan wanangu, uwafanye kama kitega uchumi??

ACHENI UBINAFSI HAOOOO
 
Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?

Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.

Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
Wewe dada acha ujinga. Yaan nikupe halafu ukatumie na nani? We unafikir ukitoka kwenye himaya ya mume wako utaendelea kuwa single na ufinyu wa akili ulio nao?

Ni huruma tu ndo itakayofanya nikuachie mali zangu, nikiamua sikupi! Yaan nipambane kutafuta mali zangu univuruge halaf tuachane nikuachie na mali zangu? Upuuzi kabisa! Naishukuru serikali ya KENYA wale jamaa wanajitambua angalau.

Narudia ni huruma tu ndo zitakazonifanya nikuachie mali zangu!

Sisi ni viongozi wenuuuuu tusikilizeni ili tutembee pamoja acheni ukaidi.

Andiko limeniboa kinomaaa.
 
Big YESSSS tena mwanaume ukikuta ana mapungufu ya hivo huwa anahangaika sana ili mwanamke na yeye ajihisi kuwa na mapungufu. Yaan ndo wale anakuwa na umalaya wa kumuoneshea mkewe akimtukana kabisa ona navopewa raha sio km wewe umekaa kaa tu hata hisia sipati, kumbe ni msongo wa mawazo umemzidi anamhamishia na mwenzie
Shida ninyi dada zangu mnaandika hisia zenu hamvai viatu vya ukweli wa maisha!

Kwa case hiyo hapo juu mumeo nguvu za kiume hana au ana maumbile madogo ilibidi wewe kama mke um-treat kwa heshima ile ile uliyokuwa unampa mwanzo wa ndoa yenu ili tatizo litoke au ajijengee kujiamini shida linaanza mnapoanza kulifanya hilo kama fimbo ya kumchapia akitoka nje ya mstari kidogo.

Maneno ya kukera kama “mwanaume mwenyewe kibamia,mwanaume gani wa sekunde kumi mara X wangu fulani alikuwa anaunganisha match blah blah blahs” sitegemei mwanaume huyu kuvumilia haya that's why hutafuta namna nyengine na ofcouse bila shaka huyo anayefanya hayo kumringishia mwanamke hajakua bado kiakili but yote hufanyika kama cure ya maumivu ya maneno machafu na ya kukatisha tamaa.
 
Unaona mlivyo wabinafsi Sasa,. Kama zaman nilikua ngangadi nakupelekea moto.

Leo nmepoteza Uwezo wakupeleka moto...lkn tumezaa.

Kwann usimuheshim tuu kua Mimi ni Mumeo, tumezaaa, na utaendelea kunipenda .

Inamaana yeye kwakua ni kijana, basi kijana ni wakupelekewa moto??

Sasa kama umeamua kusepa, sepa na nguo zako.

Ondoka ,nenda kwenu Kwa baba na Mama yako.

Wanangu waache na nyumba Yao.

Mamaee, yaan wanangu, uwafanye kama kitega uchumi??

ACHENI UBINAFSI HAOOOO
Mwanamke akiamua kuolewa na kuzaa sio rahisi kukurupuka tu atengane na mumewe kwa sababu km hizo, yapo mengi yamejificha ni vile tu ndoa zikishakuwa na matatizo mapungufu ya mwanamke ndo yanaonekana...em kwanza....kwani Mwaka saivi dude aisimami jameni😢😢
 
Shida ninyi dada zangu mnaandika hisia zenu hamvai viatu vya ukweli wa maisha!

Kwa case hiyo hapo juu mumeo nguvu za kiume hana au ana maumbile madogo ilibidi wewe kama mke um-treat kwa heshima ile ile uliyokuwa unampa mwanzo wa ndoa yenu ili tatizo litoke au ajijengee kujiamini shida linaanza mnapoanza kulifanya hilo kama fimbo ya kumchapia akitoka nje ya mstari kidogo.

Maneno ya kukera kama “mwanaume mwenyewe kibamia,mwanaume gani wa sekunde kumi mara X wangu fulani alikuwa anaunganisha match blah blah blahs” sitegemei mwanaume huyu kuvumilia haya that's why hutafuta namna nyengine na ofcouse bila shaka huyo anayefanya hayo kumringishia mwanamke hajakua bado kiakili but yote hufanyika kama cure ya maumivu ya maneno machafu na ya kukatisha tamaa.
Kwanza amini kuwa bado kuna wanawake wana upendo na heshima kubwa kwa waume zao, matatizo kama hayo sio fimbo ya kumchapia mtu km mwanamke anampenda na kumheshimu mumewe, ila kuna wanaume akishajijua ana tatizo hataki kujishusha liwe la wawili, unakuta anajitahidi sana asionekane mwenye mapungufu yeye, yaan anampa mwanamke maumivu hadi anajidharau
 
Tuachane na sababu nyinginezo za ndoan , Tujikite nahoja hii ya kupeleka moto .

Nmekuona, nmekutolea mahari kwenu mamaee., Tumezaaa vizuri , ,Maisha yamekua na Furaha,, imetokea nmepata ajali, nimepoteza Uwezo wa kukupeleka moto.

Hiyo inaeza kua sababu ya wewe kutafuta Talaka, alafu uhitaji nikuacbie Kila kitu, kisa tunawatoto, kisa wee kijana ??.

Kwann ukaanzishe Maisha mapya na bwanako Mpya ,Kwa Mgongo wangu?.

Kama ambavyo mwanamke hutoka kwao Hana kitu .. kwann usitoke kwangu bila chochot, na wanangu niachieee .. nenda mkaanza Maisha na mpelekaji moto ??.

Yaan uende kupelekewa moto , ukilala ndan kwangu, ukitumia Pesa zangu kukufanya uwe Mpya???.

Huyo ujinga ,labda mpate mwanaume boys mamaee .. Mimi waivo, hata unipeleke mahakaman, nitakudeal, I swear nitakudeal mpaka utarudisha chenji.
 
Shida ninyi dada zangu mnaandika hisia zenu hamvai viatu vya ukweli wa maisha!

Kwa case hiyo hapo juu mumeo nguvu za kiume hana au ana maumbile madogo ilibidi wewe kama mke um-treat kwa heshima ile ile uliyokuwa unampa mwanzo wa ndoa yenu ili tatizo litoke au ajijengee kujiamini shida linaanza mnapoanza kulifanya hilo kama fimbo ya kumchapia akitoka nje ya mstari kidogo.

Maneno ya kukera kama “mwanaume mwenyewe kibamia,mwanaume gani wa sekunde kumi mara X wangu fulani alikuwa anaunganisha match blah blah blahs” sitegemei mwanaume huyu kuvumilia haya that's why hutafuta namna nyengine na ofcouse bila shaka huyo anayefanya hayo kumringishia mwanamke hajakua bado kiakili but yote hufanyika kama cure ya maumivu ya maneno machafu na ya kukatisha tamaa.
Sasa wewe ndio Wanawake ninaowapongeza Mimi, Wanawake ambao hata enzi hizo ndio walikuwepo

Sio ili kizazi Cha ibilisu, chenyewe Ndoa ,maana yake ni kupelekewa moto
 
Nikupe Nyumba, tuachane, uwe kama Zali, nyumba yangu, uiwe unaliwa humohumo na kajamaa.

ENYI KIZAZI CHA NYOKA, ZAMAN WANAWAKE WALIFUNZWA KUHESHIMU NDOA, YAAN KUITWA MKE WAMTU ILITOSHA KUA HESHIMA KUBWA.

kizazi Cha nyoka, sahizi mnawaza Ngono tu,umeolewa ,unawaza kupelekewa motooo tuuu kana kwamba Ndoa ni kitombo.

Kama umeolewa nmezaa, umeshakua mapungufu ya mwenzio, siuvumilie??.

Yaan kisa hakugongi, basi uvunje Ndoa, na utake akuachie Kila kitu??.

Huko unakoliwa kisawasawa, mwambie akujjengee nyumba, akupe mahitaji Kila kitu !!

WANAWAKE ACHENI UBINSAFSI , ACHENIIIU.

MUWENI KAMA WANAWAKE WA ZAMANI KUDADEKI !!!

niongezee spana au nipunguze??.

Kwanini unaoa afu hugongi? Unataka afanyaje? Ndoa sio mateso.
 
kabisaa, mwanaume lake begi tu.
Wazee wetu wa zamani walipigwa hizo chenga na wanawake. Wanawake walikuwa wanatumia mgongo wa mapenzi au watoto kuwachuma wanaume. Hii imewafanya wazee wengi kufuria uzeeni maana Mali zao nyingi zimeliwa au kuchukuliwa na wanawake. Kwa Sasa karibu nyumba nyingi malandlord ni wamama, either mmewe amefariki au amemchuma Kwa mgongo wa watoto au mapenzi. Wanaume wa Sasa wamepevuka mapenzi hayana Tena nafasi ya kuteka ufahamu kiasi umuachie nyumba au Mali mwanamke. Hivyo usishangae kabisa wanaume wa Sasa wameelimika.
 
Kwanza amini kuwa bado kuna wanawake wana upendo na heshima kubwa kwa waume zao, matatizo kama hayo sio fimbo ya kumchapia mtu km mwanamke anampenda na kumheshimu mumewe, ila kuna wanaume akishajijua ana tatizo hataki kujishusha liwe la wawili, unakuta anajitahidi sana asionekane mwenye mapungufu yeye, yaan anampa mwanamke maumivu hadi anajidharau
Nashindwa kuunga dots hapo kwenye bold

Kwamba mimi nina mapungufu tayari na mke wangu ameshakubali iwe siri yetu ya ndani sasa kitakachonifanya mimi leo nianze kujionyesha kwake kwamba yeye si lolote si chochote ni nini?yaani nijikurupukie tu from no where niache simu za wanawake zipigwe hovyo usiku niongee nao mahaba yeye akiwa pembeni?

Hakuna mwanaume wa hivyo take it from me,huyo atakuwa mzinzi ila siyo ili wewe ujue heshima yako kama mke itabaki pale pale but ukiona amefanya hayo mambo hadi ukajua wewe mwenyewe jichunguze ndiye mwenye dosari,unamchukuliaje mwanaume ktk suala zima la mahusiano?mwanaume mwanamke aliyemzalia watoto humuheshimu sana siyo rahisi afanye makosa ya kipumbavu kama kuwa na msururu wa wanawake hadi mwandani wake ajue.
 
Back
Top Bottom