Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Sasa wanalo na hivi hilo lidada lizuriii weeee sasa hivii litaolewa
Saivi mwanamke ashakuwa mjanja ana uwezo wa ku access kila sector ya utafutaji ndo maana wana hasira mtu wakiachana mwanaume ndo kutwa kubwabwaja km dem vile yaan vifua hawana sasa mwaka keshasahau km ni mwanaume na watoto kazaa na yule bibie akibaki hana nyumba watoto wanaishije
 
Nikupe Nyumba, tuachane, uwe kama Zali, nyumba yangu, uiwe unaliwa humohumo na kajamaa.

ENYI KIZAZI CHA NYOKA, ZAMAN WANAWAKE WALIFUNZWA KUHESHIMU NDOA, YAAN KUITWA MKE WAMTU ILITOSHA KUA HESHIMA KUBWA.

kizazi Cha nyoka, sahizi mnawaza Ngono tu,umeolewa ,unawaza kupelekewa motooo tuuu kana kwamba Ndoa ni kitombo.

Kama umeolewa nmezaa, umeshakua mapungufu ya mwenzio, siuvumilie??.

Yaan kisa hakugongi, basi uvunje Ndoa, na utake akuachie Kila kitu??.

Huko unakoliwa kisawasawa, mwambie akujjengee nyumba, akupe mahitaji Kila kitu !!

WANAWAKE ACHENI UBINSAFSI , ACHENIIIU.

MUWENI KAMA WANAWAKE WA ZAMANI KUDADEKI !!!

niongezee spana au nipunguze??.
 
Sasa nguvu za kiume aengeze mke???

Sidhani kama utafiti wako umeufanya ukajiridhisha.
Big YESSSS tena mwanaume ukikuta ana mapungufu ya hivo huwa anahangaika sana ili mwanamke na yeye ajihisi kuwa na mapungufu. Yaan ndo wale anakuwa na umalaya wa kumuoneshea mkewe akimtukana kabisa ona navopewa raha sio km wewe umekaa kaa tu hata hisia sipati, kumbe ni msongo wa mawazo umemzidi anamhamishia na mwenzie
 
Zaman mwanamke aliyezalishwa ,alikua anauwezo wa kuolewa na mwanaume mwingine, na asithubutu kabisa kuliwa na aliyemzalisha na kumwacha

Leo ,mwanamke aliyezaa , ukimuoa, unakua umeona Mke wa mtu yaan lazima aendelee kuliwa na alomzalisha.

WANAWAKE ACHENI UBINAFSI.

hizo Maneno zenu wambiaeni wanaume mabwegeee
 
Nikupe Nyumba, tuachane, uwe kama Zali, nyumba yangu, uiwe unaliwa humohumo na kajamaa.

ENYI KIZAZI CHA NYOKA, ZAMAN WANAWAKE WALIFUNZWA KUHESHIMU NDOA, YAAN KUITWA MKE WAMTU ILITOSHA KUA HESHIMA KUBWA.

kizazi Cha nyoka, sahizi mnawaza Ngono tu,umeolewa ,unawaza kupelekewa motooo tuuu kana kwamba Ndoa ni kitombo.

Kama umeolewa nmezaa, umeshakua mapungufu ya mwenzio, siuvumilie??.

Yaan kisa hakugongi, basi uvunje Ndoa, na utake akuachie Kila kitu??.

Huko unakoliwa kisawasawa, mwambie akujjengee nyumba, akupe mahitaji Kila kitu !!

WANAWAKE ACHENI UBINSAFSI , ACHENIIIU.

MUWENI KAMA WANAWAKE WA ZAMANI KUDADEKI !!!

niongezee spana au nipunguze??.
Sasa humlali wewe na unamuita mkeo na bado ni kijana yaan ndo unataka aishije? Inamaana kukaa mwaka mzima bila kugusana ni wazi hakuna ukaribu kati yenu, unataka aendelee kukaa kwako km mkeo kisa nini? Nyumba unampokonya je watoto aliozaa wataishije? Ukichukua nyumba unamkomo yeye au unatesa watoto wako
 
Mwanamke zaman aliolewa lkn alijua, *nmeolewa kuendeleza kizazi yaan kuzaaa , na kupataahitaji yake kama Mwanadam.

Siku hizi mnaolewa kujiegesha lkn moyon unakumbatia na kichwan unawawaza mabwana zako 10 ambao walikua wanakupelekea motooooo haswaaahaswaaa

Umepata mtu wakukuoa kisa ANAKUTIA dakika kadhaaz ila anauwezo wa kuzalisha...unaona sio kitu

Kwann usimuheshim tuuu Kwa sababu ya Uwezo wake wa kuzalisha??? Je angekua hazalishi??.

Mnaingia ndoan mnawaza kupelekewa motooo tuuuu ,,,,,,K hata ipelekewe moto vipi, hairidhiki, hiyo mmepewa kwaajili ya kuzaliaa tu .
 
Back
Top Bottom