Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Ahahaha, weeh dada mbona mgomvi? Hawajatimiza ahadi? Mie namngojea Excel hapa ananipeleka brazil kuangalia world cup all possible matches kutegemeana na ratiba. Bata batani!
halafu husomeki kabisa siku hizi kumbe ahadi ya brazil inakuzingua....
Last edited by a moderator: