Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Kweli inabidi wanaume mbadilike! Hivi unapokutana na mwanamke mzuri kapendeza unapata mawazo gani kichwani hadi kufikiria kumtongoza au hata kuomba namba? Hivi unafikiri yupoyupo tu hana mpenzi/boyfriend/mume? Wengine wanakutana na wanawake wastaarabu anaambiwa kabisa mi nina mume lakini waaapi! Hebu badilikeni wanaume mtakujaomba namba za majini afu chamoto mkione!
jini akijigeuza mwanamke lazima atakuwa ana shida na wanaume huyo.