Wanaume wengi ni majanga........

Wanaume wengi ni majanga........

Hivi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengine hawajiamini katika kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....
Na wewe unayekubali kumpa namba una uhakika gani kama unayempa ni mtu
 
Kuombwa namba limekuwa janga? Wewe hunijui ila mimi huenda siyo mara ya kwanza kukuona....... Sasa cha kufanya ni wewe tu kusema hunifahamu ili nikufahamishe. Utahisi tumeonana kwa mara ya kwanza ila mimi kwangu isiwe mara ya kwanza na kwakuwa nimevutiwa na wewe, inawezekana nikawa nimekuchunguza na kukufahamu kwa kiasi.

Leta sababu nyingine ya Wanaume kuwa majanga😉😎

wana tabia za kumbikumbi!!
 
wanaume huamini kabisa kuwa akipata namba tu TAYARI ANA POINT 3 ZA MEZANI.
 
Modes hii opershen ya kumerge ID iendelee tu

from regina wa ukweli Baby wangu to Fitter
 
Back
Top Bottom