Wanaume wengi ni majanga........

Wanaume wengi ni majanga........

hvi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengne hawajiamini ktk kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....

wanafanya hvyo baada ya kugundua kuwa ww ukoje..... Kama navokujua ww ni mtu wa kujichekesha na kupenda kununuliwa vitu ndio maana na yeye anakufuata kwa gia hyo....... Lakin mbona yule jamaa wa siku ile alikugegeda sku hyohyo wakat hata hamjajuana?! Au hakukununulia ile laptop
 
Tungekua tunatongozana tunaojuana tu naamini hii nchi ingeongoza kwa ukabila na udini

Very good point...nakupigia makofi mkuu., Halafu kwani ukikutana na mtu mara ya kwanza unategemea akuombe nini? mi nadhani sio tatizo kuomba au kuombwa namba.
 
hvi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengne hawajiamini ktk kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....
Wewe binti ni mshamba sijapata kuona, nimekaa siti moja kwenye ndege na wewe kwa zaidi ya masaa 9 tunachart kuna ubaya gani nikikupa business card yangu na mwanamke akanipa business card yake siku hiyo hiyo?

Mnapoingia JF msiposti utumbo mkidhani kila mtu yuko salon anawaza ujinga tu.
 
pole dada, unajua wanaume wengine wako desperate sana hiyo ni hali ya kawaida tu we ignore tu. niinbox namba yako basi.:eyebrows:
 
Wewe binti ni mshamba sijapata kuona, nimekaa siti moja kwenye ndege na wewe kwa zaidi ya masaa 9 tunachart kuna ubaya gani nikikupa business card yangu na mwanamke akanipa business card yake siku hiyo hiyo?

Mnapoingia JF msiposti utumbo mkidhani kila mtu yuko salon anawaza ujinga tu.

kwenye basi bana, dar to chunya; huyohuyo baadaye kisimu chake kimeisha chaji anaanza kujisemesha "..halafu simu yangu imekata kabisa charge na mwenyeji sjui ntampataje" wakati njia nzima amechuna!
 
hvi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengne hawajiamini ktk kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....

Mhhh!, hapo napata shaka kidogo, inawezekana kuna dream boy/man wako aliye katika fikra zako in your head, ambaye anavigezo na masharti uliyojiwekea, ndio maaana unaona wanaume wengine wanaokutongoza ni majanga. Acha kujidanganya. In this real world hakuna mwanaume wa type hiyo unayependa afanye/awe kama unavyotaka.WAKE UP girl.
 
sasa utaopiga sim bila namba? ndo maana zinaombwa acha kuleta ujinsia
 
hvi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengne hawajiamini ktk kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....

Anayekuomba namba ya simu na anayekuomba mapenzi ni yupi mzuri kwako?
 
kwenye basi bana, dar to chunya; huyohuyo baadaye kisimu chake kimeisha chaji anaanza kujisemesha "..halafu simu yangu imekata kabisa charge na mwenyeji sjui ntampataje" wakati njia nzima amechuna!

hahaa hilo pozi baya sana ie unamchunia mtu halafu baadae ni huo huyo inabidi kumuomba

akusaidie katika jambo fulani
 
hvi unakutanaje na msichana mara ya 1 hata humjui unamuomba namba ya simu?....una uhakika gani kua ni mtu?...alafu kuna wengne hawajiamini ktk kutongoza anadai atakununulia hiki na hiki au atakupa kazi kama huna....ndipo mlipofikia hapo....
Sasa wewe ulitaka kuombwa mawasiliano lini? unadhani kila wakati mtaonana kama hutaki kutongozwa si ukatae kutoa simu au usitembee hakuna atakeye kuuliza wala kukusalimia.
 
hahaa hilo pozi baya sana ie unamchunia mtu halafu baadae ni huo huyo inabidi kumuomba

akusaidie katika jambo fulani

Umeona eeh? haifai kumwona mtu namna gani, you never know. binafsi huwa najitahidi kuwa easy and social kwa mtu yeyote nayekutana naye, nimejikuta nafahamiana na watu wengi sana na kubadilishana uzoefu kwa mambo kadhaa, wengine wamenisaidia kwenye mambo makubwa mno ambayo vinginevyo yangenigharimu parefu. Pia mtu anarespond kulingana na unavomwingia, siyo kukaa naye tu we umeshaanza kumtongoza!!!!!
 
tatzo wengi wenu mnapenda kudanganywa, na ndio maana na sisi tunafanya hivyo.
 
kawaida hiyo dada nafikiri angekuvutia usingelalamika hapa
 
Kweli inabidi wanaume mbadilike! Hivi unapokutana na mwanamke mzuri kapendeza unapata mawazo gani kichwani hadi kufikiria kumtongoza au hata kuomba namba? Hivi unafikiri yupoyupo tu hana mpenzi/boyfriend/mume? Wengine wanakutana na wanawake wastaarabu anaambiwa kabisa mi nina mume lakini waaapi! Hebu badilikeni wanaume mtakujaomba namba za majini afu chamoto mkione!
 
Jewajua????

Je wajua mtoa mada kajiunga JF siku moja tu baada ya fool day (April 2, 2014) na leo (April 3, 2014) kaja na topic ya mtongozo? Mtoa mada ni janga namba moja hasa kipindi hiki ambapo taifa inapigana vita ya ukimwi.
 
Back
Top Bottom