Wanaume wembamba wana visa...

Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene?Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? kuna uwiano gani kati yao? Yaani kuna kaka mmoja mwembamba kama avatar ya fidel ila anapenda mizigo mikubwa ile mbaya, na sio huyo tu wengi nawaona mitaani mwanaume mwembamba mkewe kachana hatari, hii ndio kusema wembamba wanavutiwa na wanene au?
Duh Shantel wanaume wembamba wanajua kutunza wanawake, wanawaoa wakiwa wembamba kuliko hiyo Avatar uliyoisema matunzo ndo yanawafanya wawe kama Mabroila lakini wanaume wanene wanajali zaidi matumbo yao. Wee Angalia tu hata kwa marais tuliowahi kuwa nao hapa Tanzania. Angalia rais mnene mkewe alikuwaje na rais mwembamba hali kadhalika, By the way umenichekesha leo.
 
umeonaee...hasa pale anaposema WENGI WAO...badala ya baadhi yao...swali,kama mwanamke alinenepa baadae,unaweza conclude hvyo.?unene si kama kichogo,huja wakati wowote

Unene hauji hivi hivi kama hupendi kupakia maakuli...........................lazima uwe mlafi hivi na ndiyo utakufuata polepole............
 
Duh Shantel wanaume wembamba wanajua kutunza wanawake, wanawaoa wakiwa wembamba kuliko hiyo Avatar uliyoisema matunzo ndo yanawafanya wawe kama Mabroila lakini wanaume wanene wanajali zaidi matumbo yao. Wee Angalia tu hata kwa marais tuliowahi kuwa nao hapa Tanzania. Angalia rais mnene mkewe alikuwaje na rais mwembamba hali kadhalika, By the way umenichekesha leo.

Hivi mke wa Mkapa ni mwembamba........................na mke wa Mwai Kibaki na yeyey ni slim fit na wa museveni je ni sindano...............na wa kagame yukoje................................................................just mouthing your thoughts............
 
Kwa hiyo waume zao ni walafi kama alivosema mkuu apo juu?
 
Unene hauji hivi hivi kama hupendi kupakia maakuli...........................lazima uwe mlafi hivi na ndiyo utakufuata polepole............
heheh...nliposema wkt wowote nilimaanisha,si lazima uzaliwe nao,..mmh habari ya ulafi hpo,subiri wenyewe waje kujitetea
 
hapo wanatafuta comfortability wote wakiwa matembo shughuli huwa ngumu sana. Wembamba wako swift na very mobile hivyo huwa rahisi wao kujipenyeza kunako mabonge. Lakini hiyo sio rule of thumb ni kwa baadhi tu, kuna wengine wembamba na pia hupenda miiba.
 
Sasa hapo “visa“ vikowapi?!Maan kama unavyochagua wa kumpenda ndivyo na wao wanachagua!!
 
hapo wanatafuta comfortability wote wakiwa matembo shughuli huwa ngumu sana. Wembamba wako swift na very mobile hivyo huwa rahisi wao kujipenyeza kunako mabonge. Lakini hiyo sio rule of thumb ni kwa baadhi tu, kuna wengine wembamba na pia hupenda miiba.
Hahahahaaaa! mbana hata wembamba wanakuwaga na wembamba wenzao pia? ila pia nishaona kimtu chembamba na jimama hilooo mpaka unaona kama anaonewa hivi
 
ndio hivo visa vya kuwa na mabonge kupitiliza au vipi
Mimi ni mwanaume mwembamba kama sindano....ni kweli navutiwa na wanawake wakubwa/wanene,big round face,big booty,big boobs....but aflat stomach,kwa mwanamke tumbo au kitumbo kilichojitokeza ni dalili ya uvivu na kuto take care ....not a fan!
 
ndio hivo visa vya kuwa na mabonge kupitiliza au vipi
Ni “visa“ kwa nani!!?Kwani wanawake wembamba wao wanakosa watu?!Na kama wanapata wanapata wa aina gani?!Kama wanaume wanne wanahusika basi thread yako ingehusu wadada na wakaka wembamba wahusudu wanene...kitu anbacho hakitakua na ubaya maana kila mtu anapata anachotaka!!
 
Ni "visa" kwa nani!!?Kwani wanawake wembamba wao wanakosa watu?!Na kama wanapata wanapata wa aina gani?!Kama wanaume wanne wanahusika basi thread yako ingehusu wadada na wakaka wembamba wahusudu wanene...kitu anbacho hakitakua na ubaya maana kila mtu anapata anachotaka!!
na ww lizzy kwa kukosoa wenzako hujambo, mie kwa leo nimeona nilete hii coz kuna watu nawafahamu ni wembamba sana kupita kiasi ila wanawake wao ni wanene kupitiliza na huwaambii kitu, nikawa najiuliza maybe kuna connection yoyote na si mbaya kupata opinion za watu, toa basi mawazo yako kuhusu title ya hii thread lizzy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom