Wanaume wembamba wana visa...

Hahahaha we huonagi gaga? mtu akinenepa hata kama alikuwa mrefu size huwa occupied by upana hivyo kuonekana mfupi and mfupi by kucraim kwa wabongo kila kitu chake kifupi plus nanihii ya mfupi walahi iko tight kinoma na kama ni mwanaume iko ndogo...Chunguza utanambia kwa PM
Hhahaahwheheee haya bwana
 
Sio nyie ndio mnawapenda? unaweza kumkubali msichana ambaye hakuvutii, eeeeee jimbi!
issue hapa ni kwamba wanawake wanene ndio wanao pendelea wanaume wembamba, kwa madai eti ni wepesi na kwahivi wanaweza kufanya sarakasi yeyote na kutumia mbinuko wowote.Kama haujawahi kutest anza leo!! teh teh teh..
 
Hiii nani kakwambia? si umeona wanaume wamejitokeza hapa wengi tu wembamba wanapenda wanene? poa lakini isiwe ishu inaweza kuwa kinyume chake pia
 
Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene?

Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? Kuna uwiano gani kati yao? Yaani kuna kaka mmoja mwembamba kama avatar ya fidel ila anapenda mizigo mikubwa ile mbaya, na sio huyo tu wengi nawaona mitaani mwanaume mwembamba mkewe kachana hatari, hii ndio kusema wembamba wanavutiwa na wanene au?

DA Shantel..... kizuri ki moyoni... lakini vijana wengi wa kiafrika wadanyika na ukubwa wa makalio ... binafsi mimi hawanivutiii sababu wanakuwa na tumbo "i guess u know what i mean"
but kama nilivosema kizuri kipo moyoni...
 
Ni poa tu mkuu, kipendacho roho bana.....na nikirudi upande wa pili, what if mpensi wako uko nae hana tubmo kabisa then anakuja jifungua na tumbo kutokeza?? unamtema au unaendelea nae?
 
ahh, da shantel ( she will be a victim of circumstances ), siwezi nikaja muacha sababu tumbo limejitokeza baada ya kujifungua , tumeshakuwa family kilichobaki ni kudumisha upendo .. nadhani mtoto maranyingi huwa ndiye anaongeza furaha kati ya watu wawili wapendanao
 
Baaasi kama umekubaliana na mimi utakuja mpenda na tumbo lake then hata mwenye tumbo mwingine ambaye yuko mtaani utaanza kumwona anafaa baada ya kuona uzuri wa huyo wa home, mambo yote yanaenda kisaikolojia zaidi, kama hujatest huwezi jua uzuri wake au vipi?ila inabaki palepale kila mtu na utashi wake mkuu
 
Dah hio neno nikweli 2nashauka na kimoja kinapo pwaya huwa tunakubali matokeo then maisha yanaendelea. hili nakukubali "sh" coz mi binafsi wakat naanza kutamani vibint nilikuwa namaind chuchu zilizo ngangari na kusimama bt toka wife ajifungue wazo la chuchu tamu zimekwisha kichwani namuona wakawaida na nampenda kama jana na ufuso wake. even if huwa 2po binafsi sipendi na namlisha tizi ya maana 2mbo kwambali fuso and tyt.
 
katika somo la kemia huwa tunasema "inorder for the reaction to take place between two atoms we need proper orientation of the named atoms". Hii inamaanisha kuwa kama atoms mbili hazijaungana kwa jinsi inavyotakiwa hakuna pambano la kikemia (chemical reaction) litakalofanyika. Vivyo hivyo wadada wanaowapenda wanaume wembamba nao niwanakemia wanajua kuwa wakioana na mwanaume mnene wakati huo nayeye ni mnene kutakuwa na utata katika kushughulika wakati wa.............. lakini mwanaume mwembamba ni rahisi ku penetrate katika mapaja na kushughulika kikamilifu wakati wa..........
 
umesoma law of isostacy? Ndo hiyo inaaply hapo wanafanya hivo kupata equillibrium (balance)

Isostacy? mzee umenikumbusha mbali sana....iso = equal statiko = standing/equilibrium...aisee, this was 1988 Form V Geography!
 
katika somo la kemia huwa tunasema "inorder for the reaction to take place between two atoms we need proper orientation of the named atoms". Hii inamaanisha kuwa kama atoms mbili hazijaungana kwa jinsi inavyotakiwa hakuna pambano la kikemia (chemical reaction) litakalofanyika. Vivyo hivyo wadada wanaowapenda wanaume wembamba nao niwanakemia wanajua kuwa wakioana na mwanaume mnene wakati huo nayeye ni mnene kutakuwa na utata katika kushughulika wakati wa.............. lakini mwanaume mwembamba ni rahisi ku penetrate katika mapaja na kushughulika kikamilifu wakati wa..........
hivooo eeeeee
 
Habari wakuu, hivi mmenote wanaume wembamba sana wanapenda sana wanawake wanene?

Yaaani utakuta kijana mwembambaaa mwanamke wake mnene kupita kiasi, hii inatokana na nini? Kuna uwiano gani kati yao? Yaani kuna kaka mmoja mwembamba kama avatar ya fidel ila anapenda mizigo mikubwa ile mbaya, na sio huyo tu wengi nawaona mitaani mwanaume mwembamba mkewe kachana hatari, hii ndio kusema wembamba wanavutiwa na wanene au?

Mi nafikiri wanawake wanene ndo wanapenda wanaume wembamba
 
Wewe umeshaona wapi msomali anaendesha fuso?ni mwendo wa scania au fiat fullu ujazo ndio mpango mzima na kwakua wanaume wembaba tunajua kupiga kazi na tuna ndizi za ukweli au bado hujaelewa?
 
Jaman mimi naona ni kwa sababu wanawake wanene wanakuwa na maumbile makubwa kunako utamu wa mwanaume na wanaume wembamba wanakuwa na maumbile makubwa kunako utamu wa mwanamke na vilevile wanawake wanene wanamajimaji kwa wing compare na wembamba so inakua safi sana.

Yangu ni hayo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom